Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
- Thread starter
-
- #61
Kuna ukweli hapo. Sikujua vice president wenu ni mwanamke. Niliona juzi kwa inauguration ya president wetu
Wewe kama unakwenda Kenya na kurudi, mimi nimefanya kazi Kenya miaka sita na nimeizunguka Kenya sana, TV zao zinarusha habari za Tanzania kuliko TV za Tanzania zinavyoizungumzia Kenya, wewe inawezekana unatembelea vijijini, wakenya wanawakubali sana watanzania, kiujumla mkenya ni mtu mwenye kupenda sifa, ila ni wabaguzi sana, kwa taarifa yako, asili yangu mimi ni Kenya na karibu nusu ya ukoo wetu wapo Kenya, hayo unayosema ni uongo mtupu, ninahisi huna ajira na dili zako zimekwama unaanza kuonyesha flustrations zako humu.
Siyo kweli, nitajie bar yoyote ile Kenya (Nairobi) ambapo utakuta wanaangalia ITV au Azam, lkn ninaweza kukutajia hapa sasa bar zaidi ya tano za kwetu zinazoonyesha TV za Kenya na watu (Watz) wamekaa wanafwatilia, tena wanafwatilia klk hata wanavyofwatlia TV za TZ!
Watanzania wanajua hata majina ya Watangazaji wa TV za Kenya lkn hkn Mkenya anayejua jina la Mtangazaji wa TZ hata mmoja!