Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

Kuna ukweli hapo. Sikujua vice president wenu ni mwanamke. Niliona juzi kwa inauguration ya president wetu

Wewe kama unakwenda Kenya na kurudi, mimi nimefanya kazi Kenya miaka sita na nimeizunguka Kenya sana, TV zao zinarusha habari za Tanzania kuliko TV za Tanzania zinavyoizungumzia Kenya, wewe inawezekana unatembelea vijijini, wakenya wanawakubali sana watanzania, kiujumla mkenya ni mtu mwenye kupenda sifa, ila ni wabaguzi sana, kwa taarifa yako, asili yangu mimi ni Kenya na karibu nusu ya ukoo wetu wapo Kenya, hayo unayosema ni uongo mtupu, ninahisi huna ajira na dili zako zimekwama unaanza kuonyesha flustrations zako humu.

Siyo kweli, nitajie bar yoyote ile Kenya (Nairobi) ambapo utakuta wanaangalia ITV au Azam, lkn ninaweza kukutajia hapa sasa bar zaidi ya tano za kwetu zinazoonyesha TV za Kenya na watu (Watz) wamekaa wanafwatilia, tena wanafwatilia klk hata wanavyofwatlia TV za TZ!
Watanzania wanajua hata majina ya Watangazaji wa TV za Kenya lkn hkn Mkenya anayejua jina la Mtangazaji wa TZ hata mmoja!
 
Wewe kama unakwenda Kenya na kurudi, mimi nimefanya kazi Kenya miaka sita na nimeizunguka Kenya sana, TV zao zinarusha habari za Tanzania kuliko TV za Tanzania zinavyoizungumzia Kenya, wewe inawezekana unatembelea vijijini, wakenya wanawakubali sana watanzania, kiujumla mkenya ni mtu mwenye kupenda sifa, ila ni wabaguzi sana, kwa taarifa yako, asili yangu mimi ni Kenya na karibu nusu ya ukoo wetu wapo Kenya, hayo unayosema ni uongo mtupu, ninahisi huna ajira na dili zako zimekwama unaanza kuonyesha flustrations zako humu.
Ulikua wafanya wapi ndugu.
 
Siyo kweli, nitajie bar yoyote ile Kenya (Nairobi) ambapo utakuta wanaangalia ITV au Azam, lkn ninaweza kukutaji hapa sasa bar zaido ya tano za kwetu zinazoonyesha TV za Kenya na watu (Watz) wamekaa wanafwatilia, rena wanafwatilia klk hata wanavyofwatlia TV za TZ!
Nimekuambia wewe ni mjinga sana, hivi kwasababu Bar unazozijua wewe zinatazama program za Kenya ndiyo unasema watanzania wanafuatilia TV za Kenya?, pili wewe akili yako haina akili, nimekuambia TV stations za Kenya zinarusha habari za Tanzania zaidi kuliko TV stations za Tanzania zinavyorusha habari za Tanzania, kujua kwamba wewe ni mjinga tena huna unalojua, TV nyingi za Kenya program zao zinarushwa kwa kiingereza, utasemaje watanzania wengi wanafuatilia wakati kiingereza ni tatizo?, huijui Kenya vizuri, huwa unaenda tu kumfuata basha wako usituzingue.
 
Siyo kweli, kwanza ni kinyume chakle, TV za TZ hata zina Habari za AM lkn Kenya wala Uganda hakuna huwo ujinda!
 
Siyo kweli, kwanza ni kinyume chakle, TV za TZ hata zina Habari za AM lkn Kenya wala Uganda hakuna huwo ujinda!
Ndiyo nimekuambia kwamba, huyo bwana uliyempata huko Kenya, asikufanye uchanganyikiwe, mimi Kenya nimekaa miaka sita Nairobi, wewe wa kwenda na kutoka unazuzuka na kuzungumza uonga humu ndani, nenda ukae japo mwaka mmoja ufuatilie vipindi vyao vya TV ndiyo utajua, sio unakaa wiki moja unarudi, huwezi pata picha halisi
 
Siwezi kukaa zaidi ya miezi 6 nchi za watu wengine, nina kwetu TZ, nimezaliwa, kukulia na nitafia hapa!
 
Siwezi kukaa zaidi ya miezi 6 nchi za watu wengine, nina kwetu TZ, nimezaliwa, kukulia na nitafia hapa!
Sasa uache kuzungumzia mambo usiyoyajua kwa undani, hata hao wakenya.wanakushangaa humu ndani
 
Hakuna hata moja nililolisema ambalo siyo la kweli kama lipo lihtaje hapa!
Huna lolote unalojua, tafuta kazi ufanye itakayokuongezea kipato, hali ya maisha imebadilika, watu kama wewe sio rahisi kuendana na kasi ya Magufuli, utabaki kupandwa na hasira tu hadi uingie kaburini
 
Nimefika Kenya mara nyingi lakini ukiondoa Raisi wa Tanzania hakuna kiongozi wa Tanzania ambaye Mkenya wa kawaida anamfahamu achilia mbali hata kumsikia!

Lakini hapa Bongo tuko obsessed na Kenya, tunajua na kufuatilia kila kitu, mpaka tunachukuwa upande wa vyama vyao vya Kisiasa, Kenya wanaijua CCM tu lakini Tanzania tunajua na kufuatilitilia kila chama cha siasa cha Kenya na viongozi wake, hata hapa JF tumeweka jukwaa maalumu kwa ajili ya Kenya na wachangiaji wakubwa ni watanzania, Kenya hili lisingewezekana, kwanza Mkenya wa kawaida anamdharau Mtanzania!

Ujumbe wangu ni upi? Tunawababaikia wakenya tukubali au tukatae, hakuna Mkenya anayejua TV ya Tanzania lakini watanzania wote wanajua TV za Kenya!
Kuna Watanzania hata wanasoma Magazeti ya Kenya lakini hakuna gazeti la Tanzania linaloweza kuuzwa Kenya na kununuliwa.

Mfano hai Tundu Lisu kakimbizwa Kenya hakuna Mkenya ambaye angeweza kukimbizwa Tanzania, CHADEMA wako obsessed na Rais Uhuru Kenyatta na chama chake lakini nina uhakika wanachama wa chama cha Uhuru Kenya hawajawahi hata kuisikia CHADEMA, achilia mbali hata tu kujua kama kuna mtu anaitwa Mbowe!

Tundu Lissu kalazwa Kenya lakini hakuna hata high ranking official mmoja wa Chama cha Uhuru Kenya aliyefika kumuona, kwa kifupi wakenya don’t give a shit about you, acheni kujipendekeza....
Hebu weka link yyote ya Mtz,akifatilia mkenya kwenye media na kumsifia,mfano,kenya wanapenda kusikiliza mziki,kuangalia filamu za kitanzania kuliko zao,wanafuatilia celebrities wa TZ sana.hakuna mkenya asiyemjua Diamond, Rayvanny,marehemu kanumba au Darasa.acha ufala,Mimi nimeishi kenya more than Ten years, naijua vizuri sana.
Media za kenya zinaongoza kusifia hata uzuri wa wanawake wa kitanzania mfano huu hapa
d0cfe3043a3c2cdcde7e18d77ab76d25.jpg
f30b4be938940fed143a72f2b3533d71.jpg
f73fa51cb841443d275cfcd6c9d1b8a4.jpg
weka link hata mmoja kutoka TZ inayosifia kenya kwa lolote.
 
Labda kwenye muziki hapo sawa na hata kwenye muziki huwa wanamuziki wetu wanakwenda kufanya promotion huko ndo moja kati ya sababu, lkn Wakenya kwa kawaida hawajali kinachoendelea TZ yetu lkn sisi hatulali kufwatlia kinachoendelea huko, hivyo tunawababaikia!
Kwani wanamuziki sio watanzania we mzee? Angalia u-tube video za bongo zilivyojaa comment za wakenya, lakini ni ngumu kukuta comment za wabongo kwenye nyimbo za wakenya
 
Mtanzania ambaye ameishi kenya utajua tu, huyo barbarosa inaonekana ameishi Kenya manake umetoa right description/observation ya wakenya. Most Kenyans are ignorant about Tz
 
Siyo kweli! Kufwatilia maisha ya mwingine kuliko anavyofwatilia yako ni inferiority complex, inaonyesha haujithamini na unamuhitaji klk anavyokuhitaji!

Ni lini uliona Mkenya anakuja kwenye TV za kwetu kuisema vibaya nchi yake kama wale takataka wenu Msigwa na Lema walivyofanya?
Kwahiyo ndio kilichokuuma?
 
Nimekwenda Kenya mara nyingi sana, na huwa najichanganya nikiwa huko, sijawahi kusikia hata siku moja wakiongelea khs chadema, Mbowe au sijua Lowasa kama nyie mnavyopoteza muda hapa kuwajadili na maisha yao, kwanza hata habari ya TZ tu ni nadra sana kuwekwa front page ya Magazeti yao kama vile tunavyofanya hapa Tanzania, ukiwa Kenya hata kiongozi wa Tanzana anaweza kuja lkn hakuna anayejua kama kuna Kiongozi wa Tanzania yupo nchini lkn hapa Tanzania hata tu Waziri fulani wa Kenya akiwepo nchini nchi nzima tunajua!
Kumbe huna akili
 
Labda mwenzetu unajua mpaka viongozi wa serikali za mtaa huko Kenya, mi namjua Kenyata tu na Odinga,kiongozi mtawala na mpinzani, vyama vyao sijui vinaitwaje. Sasa anaegive shit ni wewe sio Watanzania wote. Bye!
 
Kama mnafikiri huo mnaouita urafiki na Wakenya una usawa wowote kwa nini hkn Mkenya amefika kumsalimia Tundu Lisu wenu hospitalini? Ingawaje mmejipendekeza kumkimbizia huko hata mkaenda kuhojiwa kwenye TV zao na kuitukana nchi yangu?
Issue ya Tundu Lisu ni nyeti sio ya kufananisha fananisha. Hawakujipendekeza ila walijali usalama, hawawezi mwamini yeyote tu akamsalimie Lisu eti kisa ni mkenya.
 
Issue ya Tundu Lisu ni nyeti sio ya kufananisha fananisha. Hawakujipendekeza ila walijali usalama, hawawezi mwamini yeyote tu akamsalimie Lisu eti kisa ni mkenya.

Ni lini Mkenya alikimbizwa TZ yetu kuja kutibiwa kwa kuwa ,,walihofia usalama wake?" kama mlivyofanya kwa Tundu Lisu? Hilo peke yake inaonyesha jinsi mnavyowababaikia Wakenya na na pia mna inferiority complex kwamba hamuamini Mdakatari wenu wenyewe!
 
Screenshot_20171130-184132.png
You Tube Trending in Kenya, hivi Aslay sio mtanzania?
 
Back
Top Bottom