Watanzania wako obsessed na Kenya kuliko kinyume chake!

Ni lini Mkenya alikimbizwa TZ yetu kuja kutibiwa kwa kuwa ,,walihofia usalama wake?" kama mlivyofanya kwa Tundu Lisu? Hilo peke yake inaonyesha jinsi mnavyowababaikia Wakenya na na pia mna inferiority complex kwamba hamuamini Mdakatari wenu wenyewe!
Wakenya waliokimbia kuja TZ mwaka 2007,ulikuwa nn?
 
Ni lini Mkenya alikimbizwa TZ yetu kuja kutibiwa kwa kuwa ,,walihofia usalama wake?" kama mlivyofanya kwa Tundu Lisu? Hilo peke yake inaonyesha jinsi mnavyowababaikia Wakenya na na pia mna inferiority complex kwamba hamuamini Mdakatari wenu wenyewe!
Hakuna aliepigwa risasi Kenya ndo maana bado hajaletwa Tanzania
 
Siyo kweli wanapigana risasi kila siku huko kwako, lkn wanatibiana kwenye hospitali zao wenyewe!
 
Fanya quick survey kuanzia August mara ngapi Tanzania na Magufuli ameandikwa hata kwenye mambo yanayohusu Kenya. Yaani Uchaguzi wao. [emoji23] [emoji115]
 
Nimelielezea hilo, ukiondoa raisi Magufuli, na maraisi wastaafu kama Kikwete na Mkapa, hakuna mwingine ambaye binafsi nimesikia akiongelewa nilipokuwa huko Kenya, lkn sisi hapa kwetu tunaongelea na kujadili karibia kila kitu cha Kenya!
 
Asante kwa kukuona hilo
 
Jua maana ya neno obsession kabla ya kutoa urojo wako! Suala la Kina Ole Lenku kung'ang'ania kuingiza mifugo Tanzania ni kielelezo cha obsession tosha toka Kenya.
 
Nimelielezea hilo, ukiondoa raisi Magufuli, na maraisi wastaafu kama Kikwete na Mkapa, hakuna mwingine ambaye binafsi nimesikia akiongelewa nilipokuwa huko Kenya, lkn sisi hapa kwetu tunaongelea na kujadili karibia kila kitu cha Kenya!
Uliza wabongo mtaani kama wanawafaham zaidi ya Uhuru na Odinga
 
Nitajie Kiongozi mmoja wa Kenya aliyekuja kutibiwa TZ yetu kama nyie mlivyompeleka Tundu Lisu kwao, shame on you!
Iko hivi- sometimes you need to swallow your pride. Ndo maana waTz ni wazuri kama mioyo yetu ilivyo, Kenya sura ngumu sababu ya lifestyle yao.

By the way iko hivi- unafuatilia kinachotrend: In Kenya unatrend uongozi wao sababu ya udikteta wao; In tz inatrend sanaa sababu tuko vizuri katika hilo
Hivyo basi sisi tunafuatilia uongozi wao na wao wanafuatilia sanaa yetu.... See WE'RE EVEN.
 
Nitajie Kiongozi mmoja wa Kenya aliyekuja kutibiwa TZ yetu kama nyie mlivyompeleka Tundu Lisu kwao, shame on you!
Muulize Odinga, alipokuwa anakimbizwa na Moi alikimbilia wapi?
 
Mimi nilichokiona kwa mtoa mada imemuuma sana Lissu kulazwa Kenya, ulitaka alazwe Muhimbili ili mumuue?
 
Mi t ofauti na kenyata na odinga hakuna ninayemfaham labda wasanii baadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…