Watanzania walalamikia utaratibu wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana Shauri John Bintanya

Acha wivu dogo.
 
Kwahiyo unamuonea wivu? Mungu kaamua asaidiwe Kwa mfumo huo, yule mtoto aliyempeleka baba yake polisi kisa anataka kuuza nyumba Yao! Sahizi kawa mkubwa anapiga kidhungu tu watu wamempeleka, MUNGU alimfungulia mlango Kwa namna hiyo! Usiumie mkuu omba Mungu akukumbuke.
 
Mkuu kama anaemiliki hao ng'ombe ndio babake basi anawajibika kwa huyo mtoto pia labda kama kuna issue ingine inayosababisha watu wachangie.
sio kila baba ana akili Kama zako.baba yao uenda ameona elimu Haina maana
 
We mbwa katafute nchi ya kuhamia, we unaumwa akili.
 
Kabisa
Wanautajiri wa mifugo halafu inakuwaje anashindwa kwenda shule?...ashukuriwe Mungu afya zao ni nzuri.
Kuna familia zina dhiki zaidi ya hiyo.....
 
Kwa nini wazazi wake wasiuze ng'ombe wamsomeshe??

Maneno yako ukiyafikiria yana mantiki ndani yake.
Baadhi ya wazazi huwa wanachukuliwa hatua wanapoamua kuchagua ng’ombe Vs elimu kwa watoto wao (Kuolewa kwa mtoto wa kike ili wapate ng’ombe ama mtoto wa kiume kuchunga ng’ombe).

Tumshukuru Mungu watanzania linapokuja suala la dhiki hufungua mioyo yao.
 
Well said ,yaani tunaishi kama mazombi, yaani mitaani tuñaishi kumejaa watu wenye shida ,akitokewa mmoja na Vyomno vya habari tunajifwnya wenye huruma...

Unafiki mtupu!
 
Hiyo story ya huyo mtoto tangu naisikia naona kama maigizo fulani hivi au watu wanashindwa kujiongeza, Kama mtoto amekutwa anachunga mifugo ya familia porini badala ya kwenda shule hapo tatizo sio ukosefu wa pesa ya shule bali ni ukosefu wa akili wa wazazi wake au kupuuza kwao tu elimu.
 
Anasaidiwa kwa sababu zipi wakati wanamiliki mifugo??
 
Basi ibidi afahamishwe kwanza baba yake umhimu wa elimu Kisha auze baadhi ya ng'ombe apelekwe shule
SIdhani kama kuna haja ya kuuza ng"ombe wakati Elimu ni bure, au nakosea?

Ila dogo kusaidiwa ni sawa tu maana anaonekana ana akili, tatizo wanasiasa washaanza kutumia fursa, account ya nini sasa? Nani ataisimamia hiyo account?
 
Viongozi wa ccm wanajitoga ufahamu sana ni kama matatizo ya watoto wa Tanzania hawayaoni huko vijinini,
Huyo mzazi mpaka ana mifugo si tajiri kabisa, Kuna wa bibi huko mtwara na lindi wana lundo la wajukuu walioachiwa na single mother hawaijui hata kesho yao,
Rud kwa mwigulu ukaone dada zake wanavyoo zaa hovyo na kuacha watoto huko vijinini alafu mnashupalia ishu ya mtoto mmoja!
 
SIdhani kama kuna haja ya kuuza ng"ombe wakati Elimu ni bure, au nakosea?

Ila dogo kusaidiwa ni sawa tu maana anaonekana ana akili, tatizo wanasiasa washaanza kutumia fursa, account ya nini sasa? Nani ataisimamia hiyo account?
Basi kama hivyo tuanzishe kampeni ya kuwasaidia wototo waliopo kwenye mazingira magumu maana ni wengi tena wengine wanamazingira magumu zaidi ya huyo dogo
 
Mkuu kama anaemiliki hao ng'ombe ndio babake basi anawajibika kwa huyo mtoto pia labda kama kuna issue ingine inayosababisha watu wachangie.
ndo maana mimi nikasema watoto wa hivyo wapo wengi sana labda tuanze kuwaibua, na cha ajabu hakuna mwanasiasa hata mmoja alitia neno you know why wanajua they have created so many such problems, kuna vitoto vinafarki kwa kukosa matibabu who cares toto afya kadi and NHIF imeparalyse
 
maajbau ya watz haya
 
Hao watanzania waliolalamika wako wapi? tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…