Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu dogo.Watz ni maboya sana, nusu ya watoto wa tanzania wanaishi maisha hayo au mnataka kila mtoto ajitokeze kueleza matatizo ya nyumbani kwao , in short TZ ni failed state watu wanashida hadi wananuka , mmemsahau yule mze muuza samaki. hata wanaochanga siwaelewi huyo mzazi ni wa kumkamata na kuhakikisha mtoto anasoma shule kwa utaratibu siyo hizi huruma za kijinga zinazotafutwa hapa,
Kwahiyo unamuonea wivu? Mungu kaamua asaidiwe Kwa mfumo huo, yule mtoto aliyempeleka baba yake polisi kisa anataka kuuza nyumba Yao! Sahizi kawa mkubwa anapiga kidhungu tu watu wamempeleka, MUNGU alimfungulia mlango Kwa namna hiyo! Usiumie mkuu omba Mungu akukumbuke.Watz ni maboya sana, nusu ya watoto wa tanzania wanaishi maisha hayo au mnataka kila mtoto ajitokeze kueleza matatizo ya nyumbani kwao , in short TZ ni failed state watu wanashida hadi wananuka , mmemsahau yule mze muuza samaki. hata wanaochanga siwaelewi huyo mzazi ni wa kumkamata na kuhakikisha mtoto anasoma shule kwa utaratibu siyo hizi huruma za kijinga zinazotafutwa hapa,
sio kila baba ana akili Kama zako.baba yao uenda ameona elimu Haina maanaMkuu kama anaemiliki hao ng'ombe ndio babake basi anawajibika kwa huyo mtoto pia labda kama kuna issue ingine inayosababisha watu wachangie.
We mbwa katafute nchi ya kuhamia, we unaumwa akili.Watz ni maboya sana, nusu ya watoto wa tanzania wanaishi maisha hayo au mnataka kila mtoto ajitokeze kueleza matatizo ya nyumbani kwao , in short TZ ni failed state watu wanashida hadi wananuka , mmemsahau yule mze muuza samaki. hata wanaochanga siwaelewi huyo mzazi ni wa kumkamata na kuhakikisha mtoto anasoma shule kwa utaratibu siyo hizi huruma za kijinga zinazotafutwa hapa,
KabisaWatz ni maboya sana, nusu ya watoto wa tanzania wanaishi maisha hayo au mnataka kila mtoto ajitokeze kueleza matatizo ya nyumbani kwao , in short TZ ni failed state watu wanashida hadi wananuka , mmemsahau yule mze muuza samaki. hata wanaochanga siwaelewi huyo mzazi ni wa kumkamata na kuhakikisha mtoto anasoma shule kwa utaratibu siyo hizi huruma za kijinga zinazotafutwa hapa,
Basi ibidi afahamishwe kwanza baba yake umhimu wa elimu Kisha auze baadhi ya ng'ombe apelekwe shulesio kila baba ana akili Kama zako.baba yao uenda ameona elimu Haina maana
Kwa nini wazazi wake wasiuze ng'ombe wamsomeshe??
Well said ,yaani tunaishi kama mazombi, yaani mitaani tuñaishi kumejaa watu wenye shida ,akitokewa mmoja na Vyomno vya habari tunajifwnya wenye huruma...Watz ni maboya sana, nusu ya watoto wa tanzania wanaishi maisha hayo au mnataka kila mtoto ajitokeze kueleza matatizo ya nyumbani kwao , in short TZ ni failed state watu wanashida hadi wananuka , mmemsahau yule mze muuza samaki. hata wanaochanga siwaelewi huyo mzazi ni wa kumkamata na kuhakikisha mtoto anasoma shule kwa utaratibu siyo hizi huruma za kijinga zinazotafutwa hapa,
Sasa huyo anahitaji kuelimishwa,sio kuonewa huruma!sio kila baba ana akili Kama zako.baba yao uenda ameona elimu Haina maana
Hiyo story ya huyo mtoto tangu naisikia naona kama maigizo fulani hivi au watu wanashindwa kujiongeza, Kama mtoto amekutwa anachunga mifugo ya familia porini badala ya kwenda shule hapo tatizo sio ukosefu wa pesa ya shule bali ni ukosefu wa akili wa wazazi wake au kupuuza kwao tu elimu.Maneno yako ukiyafikiria yana mantiki ndani yake.
Baadhi ya wazazi huwa wanachukuliwa hatua wanapoamua kuchagua ng’ombe Vs elimu kwa watoto wao (Kuolewa kwa mtoto wa kike ili wapate ng’ombe ama mtoto wa kiume kuchunga ng’ombe).
Tumshukuru Mungu watanzania linapokuja suala la dhiki hufungua mioyo yao.
Anasaidiwa kwa sababu zipi wakati wanamiliki mifugo??Kwahiyo unamuonea wivu? Mungu kaamua asaidiwe Kwa mfumo huo, yule mtoto aliyempeleka baba yake polisi kisa anataka kuuza nyumba Yao! Sahizi kawa mkubwa anapiga kidhungu tu watu wamempeleka, MUNGU alimfungulia mlango Kwa namna hiyo! Usiumie mkuu omba Mungu akukumbuke.
SIdhani kama kuna haja ya kuuza ng"ombe wakati Elimu ni bure, au nakosea?Basi ibidi afahamishwe kwanza baba yake umhimu wa elimu Kisha auze baadhi ya ng'ombe apelekwe shule
Basi kama hivyo tuanzishe kampeni ya kuwasaidia wototo waliopo kwenye mazingira magumu maana ni wengi tena wengine wanamazingira magumu zaidi ya huyo dogoSIdhani kama kuna haja ya kuuza ng"ombe wakati Elimu ni bure, au nakosea?
Ila dogo kusaidiwa ni sawa tu maana anaonekana ana akili, tatizo wanasiasa washaanza kutumia fursa, account ya nini sasa? Nani ataisimamia hiyo account?
ndo maana mimi nikasema watoto wa hivyo wapo wengi sana labda tuanze kuwaibua, na cha ajabu hakuna mwanasiasa hata mmoja alitia neno you know why wanajua they have created so many such problems, kuna vitoto vinafarki kwa kukosa matibabu who cares toto afya kadi and NHIF imeparalyseMkuu kama anaemiliki hao ng'ombe ndio babake basi anawajibika kwa huyo mtoto pia labda kama kuna issue ingine inayosababisha watu wachangie.
maajbau ya watz hayaViongozi wa ccm wanajitoga ufahamu sana ni kama matatizo ya watoto wa Tanzania hawayaoni huko vijinini,
Huyo mzazi mpaka ana mifugo si tajiri kabisa, Kuna wa bibi huko mtwara na lindi wana lundo la wajukuu walioachiwa na single mother hawaijui hata kesho yao,
Rud kwa mwigulu ukaone dada zake wanavyoo zaa hovyo na kuacha watoto huko vijinini alafu mnashupalia ishu ya mtoto mmoja!
Watanzania wanalalamikia utaratibu uliowekwa na Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Mh Dina Mathamani wa kumsaidia kijana aliyeibuliwa na mitandao hivi karibuni wa kufunguliwa account za bank wakidai nia yao ni kupewa kijana huyo pamoja na dada yake ili wawasaidie kwa kuwasomesha na sio kuchanga fedha katika account za bank zilizofunguliwa
Malalamiko ya Watanzania yamewasilishwa kupitia comments katika post iliyorushwa na kituo cha habari cha ITV
Ushahidi:
View: https://www.facebook.com/share/v/1JAziEe8oh/