Watanzania walalamikiwa Zambia kwa kufungua biashara nyingi kuliko wazawa

Watanzania walalamikiwa Zambia kwa kufungua biashara nyingi kuliko wazawa

Wazambia wanaweka profit kubwa kwenye biashara zao, sasa ndugu zangu wakinga anacheza na mzunguko (Pesa nyeupe) yeye akiweka faida elfu moja kwenye mzigo wa piece 7000 hana cha kupoteza..!!

Watanzania wanachokifanya Zambia ndio hiko wanachokifanya wachina kkoo..!!
Wakinga ni watu hatari sijawahi ona. Ni watu wanaoonekana wapole ila ni Mafia. Pale Tunduma wamejaa wanapiga ishu zao bila kelele.
 
Uje unifundishe biashara bas rafiki yangu
 
Wale wabaharia wa Madiba wanakwama wapi
Wale wa SA wengi wao waliondoka bongo wakiwa vibaka. JPM aliwapelekea moto sana... nakumbuka ilikuwa wakikamatwa leo haichukui round ni gerezani. Wengi walikimbilia South. Huko SA wengi pia wameuwawa. Watanzania waliopo Zambia wengi ni watu safi na wafanyabiashara makini.
 
Wakinga ni watu hatari sijawahi ona. Ni watu wanaoonekana wapole ila ni Mafia. Pale Tunduma wamejaa wanapiga ishu zao bila kelele.
Wakinga wengi wa kkoo wametokea pale Tunduma, ile border ukitulia ukiisoma na kuielewa ina pesa na inakutoa..!!

Halafu pale sio wakinga tu hata makabila mengine ukitulia unatoboa. Kuna dili nyingi sana km sio mvivu..!!
 
Wazambia wanaweka profit kubwa kwenye biashara zao, sasa ndugu zangu wakinga anacheza na mzunguko (Pesa nyeupe) yeye akiweka faida elfu moja kwenye mzigo wa piece 7000 hana cha kupoteza..!!

Watanzania wanachokifanya Zambia ndio hiko wanachokifanya wachina kkoo..!!
Unachelewa wapi?
Nenda zako Zambia kasake utajiri wa haraka.
 
Post imekaa kitaalamu sana, vijana wa mjini wanasema unahitaji D mbili uelewe lengo "KUU" ya hii post.

Ila mwisho wa siku watu wafuate sheria, waheshimu tamaduni za sehemu husika na kama itatokea shida yoyote juu ya usalama wao warudi nyumbani.

Mimi mwenyewe nikimaliza internship yangu, najaribu bahati nasibu yangu Botswana pale.
 
Unachelewa hapo mkuu.
Kwa uzoefu wako ulipaswa ukawachekeche na kuwachangisha Zambia.
Kkoo ndio kwenyewe nawatega mpaka wakongo wa maeneo yote, wazimbabwe, wamalawi, wacomoro, na watanzania wa mikoani..!!

Kule Zambia pazuri km nikikaa vizuri nifungue branch Comesa Lusaka.
 
Back
Top Bottom