Watanzania walalamikiwa Zambia kwa kufungua biashara nyingi kuliko wazawa

Watanzania walalamikiwa Zambia kwa kufungua biashara nyingi kuliko wazawa

Kkoo ndio kwenyewe nawatega mpaka wakongo wa maeneo yote, wazimbabwe, wamalawi, wacomoro, na watanzania wa mikoani..!!

Kule Zambia pazuri km nikikaa vizuri nifungue branch Comesa Lusaka.
Zambia pazuri halafu totozi wa kule wapo naturally na wana akili unakula mpaka mifupa😊
 
Wachukue hatua za kiusalama wasije wakahujumiwa kwa wivu kama ka south africa miaka michache iliyopita walipohujumu shughuli za wageni
 
Kkoo ndio kwenyewe nawatega mpaka wakongo wa maeneo yote, wazimbabwe, wamalawi, wacomoro, na watanzania wa mikoani..!!

Kule Zambia pazuri km nikikaa vizuri nifungue branch Comesa Lusaka.
Ukifungua branch Zambia nipe kazi ya winga. Nikale maisha na totoz za kizambia lakini siyo dada zake Chama lile komwe hapana..😄
 
Wanyakyusa nasikia ndio wapo wengi sana kuleee. Ukichap tu kidg kinyakyus ukizan unamtete ooho! Unakuta nae anaunga hapo hapo😅
 
Wanyakyusa nasikia ndio wapo wengi sana kuleee. Ukichap tu kidg kinyakyus ukizan unamtete ooho! Unakuta nae anaunga hapo hapo😅
Wanyakyusa wamepakana na Malawi

Zambia imepakana zaidi na miji ya Songwe kwa wanyiha, Magendo yanavushwa sana border ya Tunduma
 
Kkoo ndio kwenyewe nawatega mpaka wakongo wa maeneo yote, wazimbabwe, wamalawi, wacomoro, na watanzania wa mikoani..!!

Kule Zambia pazuri km nikikaa vizuri nifungue branch Comesa Lusaka.
Anayekushauri utoke kkoo uende Zambia hana tofauti na anayesema umalize UDSM kisha uende VETA. Comesa kwa Kkoo ni takataka.
 
Mhmm.!! Hakuna wanawake wachafu km wazambia kwa taarifa yako..!! Wadanganye wasiowajua 😹😹🤣

Halafu acha kuwaza ngono, tunajadili business na fursa zake hapa ukanda wa Zambia..!! Nishi iwe? 🤣
Huyo chalii ana nyege za kikuda
 
Mhmm.!! Hakuna wanawake wachafu km wazambia kwa taarifa yako..!! Wadanganye wasiowajua 😹😹🤣

Halafu acha kuwaza ngono, tunajadili business na fursa zake hapa ukanda wa Zambia..!! Nishi iwe? 🤣
Madam hapo kwenye uchafu ni wa mwili au tabia?
 
20250308_101031.jpg

Waendelee kuchapa kazi
 
Hivi huwezi kusema tu hata saizi hakuna kilicho tofauti! Mpaka umsingizie JPM kwenye mambo ya hovyo ya Utawala huu!
Awamu hii haijapora hela ya mtu, ni yule mshamba wenu katili. Awamu hii haina jambo la hovyo ht moja.
 
Tangu wakati wa awamu ya 5 wakati wafanyabiashara wanaporwa hela na awamu ile wengi walikimbilia Zambia
Bwashee pamoja na kuwa wanachadema punguza chuki kwa JPM chuki ni furushi la misumali unavyoendelea kubeba inazidi kukuumiza. JPM is no more acha maisha mengine yaende. Utaumwa bure kwa mtu ambaye hayupo. Hapa nimekupa ushauri wa kitaalamu sasa.
 
Back
Top Bottom