Watanzania Waliamini Chini ya Rais Samia Tanzania inatang'aa lakini wamevunjika moyo

Kwa taarifa tu ndugu najua una utapiamlo wa upinzani ,hakuna awamu ambayo watu wanafuraha na serikali yao kama sasa! Ni wewe tu ndie hujui siasa za nchi yetu
 
Mimi Samia nilikuwa na imani nae kinoma hadi watu walifikiri nimerudi CCM lakini alipoipakaa TUME Mkorogo wa Kalolaiti na kuiita TUME HURU nikasema bora Kikwete na Awamu ya nne kulikuwa Demokrasia.

Ni Raisi wa Hovyo ila alianza vizuri bila hata Mabango wala Chawa lakini ghafla Mabango Nchi nzima Machawa nayo bwelelee yanakula tu fedha zetu za kodi.

Na anapanga kuiba Uchaguzi kama kawa.
 
We chapa tu kazi Kwa malengo kuwa na nidhamu na fedha yako, zitakuja tawala tofauti tofauti utakula kuku Kwa mrija tu. Wanaosubiri tawala Fulani itakuja kutukomboa wakati nchi yako inadaiwa zaidi 75 trillion watasubiri sana
 
Malalamiko yenu yamesikiwa. Subirini mama amalizie kiporo cha Magu awaachie tanganyika yenu.
 
Wanangaa wale matajiri wezi na wauza nganda

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
We chapa tu kazi Kwa malengo kuwa na nidhamu na fedha yako, zitakuja tawala tofauti tofauti utakula kuku Kwa mrija tu. Wanaosubiri tawala Fulani itakuja kutukomboa wakati nchi yako inadaiwa zaidi 75 trillion watasubiri sana
Kwanini hivyo Mkuu?
 
Kuhusu kuiba Uchaguzi amejipanga kweli kweli
 
Kwa taarifa tu ndugu najua una utapiamlo wa upinzani ,hakuna awamu ambayo watu wanafuraha na serikali yao kama sasa! Ni wewe tu ndie hujui siasa za nchi yetu
Umeongea nini hapa? Jibu hoja hata moja tu utakuwa wamaana
 
Wewe kama umevunjika usiwasemew na wengine.

Endelea kuandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…