Watanzania Waliamini Chini ya Rais Samia Tanzania inatang'aa lakini wamevunjika moyo

Ulitafiti Watanzania wangapi Ili kuandika, ulotoandika?
 
Upendo wa mama ndiyo udhaifu wake.
Mama angekua katili na kusema kila mtu ajibebe tungemlaani

Lakini katudekeza sasa tunaanza mazarau

Amebeba misalaba mingi sana ya sisi wengine hata kazi hatutaki kufanya
 
Mama angekua katili na kusema kila mtu ajibebe tungemlaani

Lakini katudekeza sasa tunaanza mazarau

Amebeba misalaba mingi sana ya sisi wengine hata kazi hatutaki kufanya
Nani hataki kufanya kazi? Anakula wapi?
 
Mm nampongeza kwa sababu hakujiandaa na hili pia ni mama yetu.Ombi langu ni mama yetu apumzike asije gombea tena aje atulee wanae.
 
Nani hataki kufanya kazi? Anakula wapi?
Watanzania sisi ni wavivu sana

Ndio maana magu alikua anatuchana live tu

Hata maofisini most of time tuko na non-official issues

Na walalamishi, ndio wavivu wakuu
 
GIZA NENE LIMETANDA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
huyu mama ni makini sana ndugu yangu
Tutafurahi akifanya mabadiliko ya maana kwenye mifumo. Kitu kile kile alichofeli mtangulizi wake mwisho wa siku akawa Rais Wa Matamko tu.

Alipoondoka mambo yakabaki vile vile.
 
Serikali sio kikundi cha akina mama wajane kufarijiana na kupeana moyo. Serikali ni jeshi linaendeshwa kiofisi. Ukicha na fisi watamaliza zizi la kondoo.

Kipindi magufuli anadeal na hawa waharibifu mkawa mnamuona kama mzee ana unoko mwingi na anaroho mbaya ila mkasahau kuwa kumuua nyani hutakiwi kumtazama usoni.

Serikalini sip sehemu ya kuchekeana, kuvumiliana, kuoneana aibu au kukingiana kifua maana hasara yake taifa zima litawajibika kuilipa.

Hii ndio faida ya kuongozwa kimama mama. Kubabake na bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…