Watanzania Waliamini Chini ya Rais Samia Tanzania inatang'aa lakini wamevunjika moyo

Sasa unatufariji au unatunanga?
 
Kazi nzuri ya Dk.Samia bila Makelele 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C3Fxy0bLHVh/?igsh=MWg4dmg2OTEzMXB4Mg==
 
Raisi anapimwa kwa uwezo wake wa kufanya maisha ya watu kuwa mepesi zaidi na zaidi na huo ndio uongozi wa kweli nje ya hapo ni viini macho kama Hv tunavyoshuhudia kwa sasa.Maisha ya watanzania ni magumu sana na Raisi yuko kimya kama maji ya mtungini,leo sukari inaenda Tshs 5000 na hicho ni kidogo tu kinachoweza kupima uongozi ktk nchi kama tu sukari inagarakaza serikali je mambo mengine itakuwaje.
 
Yeye na genge lake wanakula pipi
 
Hivi wale wauza Ngada waliokamatwa juzi Kigamboni wameshapelekwa Mahakamani au DPP hana nia ya kushtaki?

Wakipewa kama bilioni moja wagawane watasema upepelezi haujakamilika baada ya miaka mitatu hivi kesi inafutwa kimya kimya.

Wakati huo hao wauza ngada watakuwa wameshapitisha mizigo mingine mikubwa mingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…