Watanzania walihitaji kuwa na CHADEMA kama hii. Inapaswa ichangiwe fedha ili shughuli za ukombozi zifanikiwe

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Ianzishwe kampeni maalumu kwa ajili ya kuiwezesha CHADEMA hii chini ya Lissu ili ukombozi upatikane.

Hainunuliki na wala haipo kwa ajili ya matumbo yao.

Soon ukombozi utapatikana by any means necessary.

Watu laki tano tukichanga kila mmoja 1000 ni pesa zitazowezesha ukombozi kupatikana
 
shida hizo hela zitachangwaje maana mpaka mitandao ya simu na mabenk ni za kwao
 
Ianzishwe kampeni maalumu kwa ajili ya kuiwezesha CHADEMA hii chini ya Lissu ili ukombozi upatikane.

Hainunuliki na wala haipo kwa ajili ya matumbo yao.

Soon ukombozi utapatikana by any means necessary.

Watu laki tano tukichanga kila mmoja 1000 ni pesa zitazowezesha ukombozi kupatikana
upo sahihi mkuu,kuliko ile kumbe yericko ilikuwa mboga ya abdul
 
Back
Top Bottom