Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

Mkuu huko kuna tishio la kutokea kwa vita ambapo mbabe wa kremlin unaweza mwita mwamba Vladimir Putin anaonesha tishio la kutaka kuivamia nchi jirani ya Ukraine na tiari juzi keshayatangazia uhuru majimbo mawili ya Ukraine ambayo ni Luhansk na Donetsk ambayo yapo mashaliki mwa Ukraine na yana watu wengi wene asili ya urussi pia kapelekea maelfu ya vifaa vya kivita mpakani mwa ukraine pia kaizunguka Ukraine upande wa Russia, Belarus na Black Sea kwani kote huko kuna wanajeshi zaidi ya 160000 Ko hali ya kiusalama sio nzuli ukizingatia majeshi ya Russia tiali yapo kwene hayo majimbo mawili hivyo mda wowote anaweza ishambulia Ukraine mpk mji mkuu kievi na kuinyakua yote.
 
Sababu ya kuishambulia Ukraine ni nini?
 
Maelezo yako yote mazuri lakini hapo kwenye "Ko" ndipo naomba ufafanuzi zaidi wa kunielewesha maana yake.
 
Kuextend eneo lake zaidi

Yaani kwa kifupi ni kwamba RUSSIA inaamini kuwa UKRAINE ni himaya yake, na sio Ukraine tu ni pamoja na nchi zingine za jirani.

Historically, Russia ilishakuwa Superpower katika dunia hii as USSR, na ingawa sasahivi ndio Nchi yenye eneo kubwa zaidi duniani, wakati ule ilikuwa na eneo kubwa karibu mara tatu au zaidi ya eneo la sasa na RUSSIA haijawahi kuridhika na suala la USA kuwa Superpower that Conguer the world pamoja na washirika wake wa karibu hasa UK na France.

Russia wana high technology kwenye mambo ya silaha na technic na pia ni nchi yenye historia na uzoefu wa vita tangu zamani.

Wanajiamini na wanataka dola yao ya zamani itambulike...walianza zamani conquering tangu enzi za kina Tsar Alexis, Peter the Great na wengine...kipindi cha Byzantine empire, Russian empire n.k

Kwa hiyo kikubwa ni kutaka kuonesha ubabe kwa nchi zingine na pia wanahitaji maeneo zaidi.

Lakini hatahivyo akideclare vita atapigwa au kuwekewa vikwazo vya kiuchumi na kupata hasara kwasababu nchi nyingi kubwa zitaungana na US dhidi yake kuitetea Ukraine.

That's All kuhusu Urusi.
 
Habari za jioni wana jamii forums,Kwa kwel nmeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine Kutolewa na mataifa Yao ,Sababu kubwa ni nini?Putin anahusikaje ?Tujuzane

Maestro de Quimica!!OPView attachment 2129084
Serikali ya Tanzania haina mpango wa kwenda kulinda amani na kuwazuia wanajeshi wa Urusi wasifanye ujambazi?
 
Sio rahisi kiasi hicho,
 
Unafikiria Rahisi hivyo
 
Huu ushabiki wa hii vita sijui vurugu ni mimi tu ambaye sielewi au
Nimecheka taarifa ya serikali inasema wanani warudi nyumbani kwaniiii ndio leo wamesikia vuguvugu la huko au
 
Habari za jioni wana jamii forums,Kwa kwel nmeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine Kutolewa na mataifa Yao ,Sababu kubwa ni nini?Putin anahusikaje ?Tujuzane

Maestro de Quimica!!OPView attachment 2129084
Mwenzetu Mkuu britanicca, bado upo mitaa hii?.
vipi situation?.
P
 
Habari za jioni wana jamii forums,Kwa kwel nmeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine Kutolewa na mataifa Yao ,Sababu kubwa ni nini?Putin anahusikaje ?Tujuzane

Maestro de Quimica!!OPView attachment 2129084
Mkwara wa Putin, umezua taharuki kila pembe ya dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…