Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

Yule aliyemuomba Madame aombe vita na Rwanda achukuliwe apelekwe Ukraine.

Ili kutengeneza fair ground akiwa huko akabidhiwe guruneti moja, bastola moja na AK 47 moja.

Kwakua yeye anaamini vita ni kama kwenye muvi hata chakula asigewe tunaamini atakua anawapora maadaui.
 
Kuextend eneo lake zaidi

Yaani kwa kifupi ni kwamba RUSSIA inaamini kuwa UKRAINE ni himaya yake, na sio Ukraine tu ni pamoja na nchi zingine za jirani...
Don't spread your dark paint on Russia. As a matter of fact, kwa sehemu kubwa umezungumza kuhusu USA na siyo Russia.

Imagine kama Russia ingeweka makambi yake ya kimkakati kwenye nchi ya Meksiko ama Venezuela ama Canada, karibu na Marekani, wangekubali kweli hawa mabepari na mabeberu wako?

Usalama should be the first priority of each and every nation inayojitambua! Tatizo la Marekani ni kudhani kwamba nchi zote duniani ni majimbo yake!
 
Ngoma ikiwambwa sana hupasuka. Putin yuko vizuri sana lakini nahisi sifa zinampanda kichwani sasa. Akiivamia Ukraine itakuwa keshwapa chance kubwa mahasimu wake hasa USA kummaliza kabisa.
Kupitia mtafaruku huu, USA atapata support kutoka kwa washirika wake hivyo kutimiza ndoto yake ya siku nyingi ya kuidunda Russia.
USA alishajua kuwa peke yake haiwezi Russia, lakini sasa atapata support ya wengine.
USA huyu aliyeshindwa na vijitaifa vidogo kama Meksiko, Venezuela, Taliban na Iran? Are speaking, even?
 
Mkuu huko kuna tishio la kutokea kwa vita ambapo mbabe wa kremlin unaweza mwita mwamba Vladimir Putin anaonesha tishio la kutaka kuivamia nchi jirani ya Ukraine na tiari juzi keshayatangazia uhuru majimbo mawili ya Ukraine ambayo ni Luhansk na Donetsk ambayo yapo mashaliki mwa Ukraine na yana watu wengi wene asili ya urussi pia kapelekea maelfu ya vifaa vya kivita mpakani mwa ukraine pia kaizunguka Ukraine upande wa Russia, Belarus na Black Sea kwani kote huko kuna wanajeshi zaidi ya 160000 Ko hali ya kiusalama sio nzuli ukizingatia majeshi ya Russia tiali yapo kwene hayo majimbo mawili hivyo mda wowote anaweza ishambulia Ukraine mpk mji mkuu kievi na kuinyakua yote.
Kushabikia vita isiyo na sababu na kumuita Mvamizi ni Mwamba ni kushangilia ushetani.
 
Huu ushabiki wa hii vita sijui vurugu ni mimi tu ambaye sielewi au
Nimecheka taarifa ya serikali inasema wanani warudi nyumbani kwaniiii ndio leo wamesikia vuguvugu la huko au
Hilo ni shinikizo la Joe Biden Marekani. USA akikohoa ulimwengu wote (usiojitambua) unapata homa! Ni njia ya kuitafutia Russia makosa.

^Ili tu ionekane, ili tu ionekane, ili tu ionekane, Waziri Mkuu ameshindwa! Nadhani tatizo ni Uwaziri Mkuu!^ ~ in Lowassa's voice
 
Yule aliyemuomba Madame aombe vita na Rwanda achukuliwe apelekwe Ukraine.

Ili kutengeneza fair ground akiwa huko akabidhiwe guruneti moja, bastola moja na AK 47 moja.

Kwakua yeye anaamini vita ni kama kwenye muvi hata chakula asigewe tunaamini atakua anawapora maadaui.
Kagame akija na wale bodigadi wake wale warefu wanne tu, kazi kwisha mapema pale Ikulu Magogoni!
 
Ngoma ikiwambwa sana hupasuka. Putin yuko vizuri sana lakini nahisi sifa zinampanda kichwani sasa. Akiivamia Ukraine itakuwa keshwapa chance kubwa mahasimu wake hasa USA kummaliza kabisa...
USA akingia na KOREA KASKAZINI & CHINA , SOME OF ARABIC COUNTRIES SUCH AS IRAN WATAKUWA UPANDE WA RUSSIA....na inaweza tokea THIRD WORLD WAR...
 
Ngoma ikiwambwa sana hupasuka. Putin yuko vizuri sana lakini nahisi sifa zinampanda kichwani sasa. Akiivamia Ukraine itakuwa keshwapa chance kubwa mahasimu wake hasa USA kummaliza kabisa.
Kupitia mtafaruku huu, USA atapata support kutoka kwa washirika wake hivyo kutimiza ndoto yake ya siku nyingi ya kuidunda Russia.
USA alishajua kuwa peke yake haiwezi Russia, lakini sasa atapata support ya wengine.
Ndoto za mchana. USA na mamluki wenzake watakachoweza kufanya ni kubweka na kumuwekaa vikwazo mbuzi tu. Wamarekani wa Tandale mjifunze kuheshimu wakubwa wenzeni ama sivyo mtapata taabu sanaaa
 
Rais Putin katangaza Rasimi kuivamia Ukraine .

Sina shaka Ukraine kuna Watanzania wenye shughuli zao huko.

Sasa Urusi kaivamia Ukraine .

Mnatuambia nn?
 
Ndoto za mchana. USA na mamluki wenzake watakachoweza kufanya ni kubweka na kumuwekaa vikwazo mbuzi tu. Wamarekani wa Tandale mjifunze kuheshimu wakubwa wenzeni ama sivyo mtapata taabu sanaaa
Mtu kaisha ingia kule hao wa tandale na NATO yao sijui watafanyaje
 
Ile kauli ya ^all options are on the table,^ huwa wanaambiwa wanyonge kama Venezuela, labda na Meksiko!
 
Yule aliyemuomba Madame aombe vita na Rwanda achukuliwe apelekwe Ukraine.

Ili kutengeneza fair ground akiwa huko akabidhiwe guruneti moja, bastola moja na AK 47 moja.

Kwakua yeye anaamini vita ni kama kwenye muvi hata chakula asigewe tunaamini atakua anawapora maadaui.
Kujadili hao Umbwa ni kupoteza muda ndugu hayo maMtu yanatumia makalio kufikiri
 
Back
Top Bottom