Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Upo huko?Hakuna ndege inaruka kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo huko?Hakuna ndege inaruka kwa sasa
Wana mafuta?Ukraine paka dakika hii wake wachache na wameshazidiwa... lazıma watasaliti amri mapema tu
Kwanini Zanzibar hamtaki kujitoa?Anachofanya Putin kule Ukraine ni kama Nyerere alivyofanya Zanzibar, vamizi. Kwa bahati nzuri Ukraine wamepewa silaha na nchi za magharibi kwa hiyo wanaweza kupambana na Putin na vamizi lake. Wazanzibari walikuwa hawana silaha maana kilikuwa ni kisiwa cha amani na utulivu halafu mkoloni Mwingereza aliwanyang'anya silaha Wazanzibari wote kwa hiyo wakashindwa kupambana na vamizi la Nyerere.
Wazungu walivamia urusi waliikata vipandevipande,kipande kimojawapo ni hiyo UKREIN.Sababu ya kuishambulia Ukraine ni nini?
InatishaYaani nikikumbuka tu zile 1 na 2,japo kwa kusoma kwenye mwandishi impact zake sitamani WW3 itokee
Kha mbona ameanza kulialia mapema sana si ana rafiki zake china, korea ya kaskazini afanye nao biashara maisha yaendeleeSo far ameshaanza kulalamika kufuatia vikwazo vya kiuchumi vya nchi za magharibi
kuna warusi na wanato wa matombo, makunduchi, mchambawima, kwa mpalange wanafikiri vita ni vizuri so wanashabikia kwelikweli ilihali madhara yake yataenea kwenye nchi zote hapa namaanisha kiuchumiInatisha
Yaani hatujapoa na Corona tunarukia Vita!Inatisha
Kufanyaje mie huko,,,,nafuatilia International news kwa karibu Mambo sio shwariUpo huko?
Wajaribu basi kufuata hayo maandikoWarusi wameambiwa kwenye kitabu chao, Ukraine ndio nchi yao ya ahadi hivyo lazima waikalie....
Tayari Ukraine IPO chini yaoWajaribu basi kufuata hayo maandiko
Mkuu kitu pekee ambacho tunapaswa kujua Ni kuwa mgogolo huu una sura 2, sura ya kwanz Ni hii inayo onekana kwamba Ni wa kimasirahi, kwamba kunakuivamia Ukraine(ambayo leo tayari puttin amelianzisha)Ngoma ikiwambwa sana hupasuka. Putin yuko vizuri sana lakini nahisi sifa zinampanda kichwani sasa. Akiivamia Ukraine itakuwa keshwapa chance kubwa mahasimu wake hasa USA kummaliza kabisa...
Elewa ndege zinaruka isipokuwa mji mkuu pekeeKufanyaje mie huko,,,,nafuatilia International news kwa karibu Mambo sio shwari