Kuextend eneo lake zaidi
Yaani kwa kifupi ni kwamba RUSSIA inaamini kuwa UKRAINE ni himaya yake, na sio Ukraine tu ni pamoja na nchi zingine za jirani.
Historically, Russia ilishakuwa Superpower katika dunia hii as USSR, na ingawa sasahivi ndio Nchi yenye eneo kubwa zaidi duniani, wakati ule ilikuwa na eneo kubwa karibu mara tatu au zaidi ya eneo la sasa na RUSSIA haijawahi kuridhika na suala la USA kuwa Superpower that Conguer the world pamoja na washirika wake wa karibu hasa UK na France.
Russia wana high technology kwenye mambo ya silaha na technic na pia ni nchi yenye historia na uzoefu wa vita tangu zamani.
Wanajiamini na wanataka dola yao ya zamani itambulike...walianza zamani conquering tangu enzi za kina Tsar Alexis, Peter the Great na wengine...kipindi cha Byzantine empire, Russian empire n.k
Kwa hiyo kikubwa ni kutaka kuonesha ubabe kwa nchi zingine na pia wanahitaji maeneo zaidi.
Lakini hatahivyo akideclare vita atapigwa na kupata hasara kwasababu nchi nyingi kubwa zitaungana na US dhidi yake kuitetea Ukraine.
That's All kuhusu Urusi.