Tulinje twayene
Senior Member
- Aug 7, 2020
- 141
- 184
Deal done issue sio Russia wala Ukraine. Issue ni deal ya gesi kutoka urusi kwenda Germany ambayo ni project kubwa sana inayoitwa Nord 2. Us inahofia utajiri mkubwa ambao Russia anaenda kuvuna tena kwa kutumia pesa zao wenyewe sio dollars ya marekanai utampaisha mara dufu Russia na huenda ikamrejeshea usuperpower wake.
America walisema kama Russia atashambulia Ukraine hakutakuwa na Nord 2, bila kufafanua kwamba watalipua au itasitishwa lakini kabla hata ya vita yenyewe Nord 2 project imeshasitishwa na Germany, kansela Angela Merkel aliongea na waandishi wa habari juzi. Kimbuka hii project imeshaanza na ilisha kila pesa kibao,lakini pia Germany walishawajibu US hapo nyuma kwamba waangalie mambo yao waachane na project yao na Russia kwani hii project ilikuwa inaenda kuwafaidisha zaidi raia wa Germany. Katika hali ya kushangaza juzi Kansela Merkel amesitisha kibali kwa utekelezaji wa project aliyoihangaikia kwa muda mrefu sana na iliyokuwa inaonyesha kuwa ni mwarobaini wa matatizo ya nishayi kwa Germany kulikoni?
Us wanahofia pia mbengu ya mahusiano kati ya Russia na Germany ikikomaa itaweza kuleta shida kwao hasa ukizingatia historia ya Germany kabla ya vita ya pili ya dunia hivyo Us anafanya kila awezalo Germany iwe upande wake. Hii inafanyika kwa kupunguza utegemezi wa ulaya mashariki kwa Russia ingawa ni vigumu mno kwani hizo nchi zina baridi kali na chanzo kikuu cha nishati wanayotumia kuanzia kupikia kupashia na viwandani ni natural gesi ya Russia.
Macho yao yako Tanzania kwa sasa kuona namna wanavyoweza kupata mbadala wa gesi ya Russia ili kupunguza speed ya ukuaji wa Russia ikiwa ni pamoja na kuiwekea vikwazo Russia. Si mnaona mikopo inavyomiminika na bashasha alizopewa Mama wa tz alipokuwa Ufaransa na ubelgiji, its all for the purpose. Tusubiri tuone jukimu.letu ni kurekodi.matukio ili tuje kuunganisha dot mwishoni. Wao yao ni mikakati.
Lakini nini tutarajie kwa kuikandamiza Russia kivikwazo hatari zaidi inakuja kwani upo uwezekano mkubwa wa vikundi vya Kigaidi kuibuka na kuongezeka na vilivyopo kupata nguvu zaidi kwani nao watakuwa na adui mmoja. Nchi kama Syria, Lebanon, Iran na vikundi kama hizibolla, alkaeda na alshabab vitapata nguvu kutoka urusi ili.kudhoofisha uchumi wa watesi wao.
Nakumbuka kuwa Israel ilishashindwa vita dhidi ya hizbolla mnafikiri walikuwa hizbolla wale. Assad alipowashinda waoinzani wake kwenye uwanja wa vita pamoja na wapinzani kupata support ya Us na washirika wake, mnafikiri alikuwa Asad yule wa Syria? Dunia ina siri nyingi sana.