Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

Putin alikuwa ni kichwa ila sasa anazeeka vibaya. Ukraine wameshapewa silaha na nchi za magharibi. Watu wa Ukraine wameshaanza kuua majeshi ya vamizi ya Putin. Warusi wakianza kuona vijana wao wanarudi nyumbani kwenye majeneza watamgeukia Putin. Halafu matajiri wa Russia (Russian Oligarchs) mali zao wanazomiliki London na kwengine ulaya zinawekewa vikwazo. Na hao Oligarchs wakimgeuka Putin, atapata taabu sana.
Jidanganye sasa
 
Us hawezi kumpiga mrusi wewe kijana,Urusi wanamiliki asilimia 15 ya silaha za nyuklia zote zinazopatikana duniani atamchapa mmarekani kama mtoto,hata hivyo US hawezi kuanzisha vita.
Haya ni maneno tu, atawekewa vikwazo vigumu ashindwe kiinteract na Dunia nzima. Na vikwazo haviwakuti wanajeshi pekee, ni mpaka raia wa kawaida.
 
Mwamba kashateka Nucler plant ya ukraine na wafanyakazi wake ,mbna Mbaya hii[emoji856]
Screenshot_20220224-202612_Twitter.jpg
 
Anga la Ukraine kwa sasa limetawaliwa na ndege za kijeshi, njia pekee watu wanayoitumia kuondoka Ukraine ni kwa usafiri binafsi kwenda nchi jirani...
 
Ucdhani Russia ni mwepesi hvyo ndugu tangu enzi na enzi America hajawah kuipiga moja kwa moja
Ngoma ikiwambwa sana hupasuka. Putin yuko vizuri sana lakini nahisi sifa zinampanda kichwani sasa. Akiivamia Ukraine itakuwa keshwapa chance kubwa mahasimu wake hasa USA kummaliza kabisa.

Kupitia mtafaruku huu, USA atapata support kutoka kwa washirika wake hivyo kutimiza ndoto yake ya siku nyingi ya kuidunda Russia.

USA alishajua kuwa peke yake haiwezi Russia, lakini sasa atapata support ya wengine.
 
Back
Top Bottom