abulaaliyah77
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,750
- 1,158
Huyu asome vzr hist.kisha arudi tena ajiulize kwann America alishindwa kuivamia Cuba
Unafikiria Rahisi hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiria Rahisi hivyo
Bima mbele ya kutunguliwa..😀
Kuna kitu kinaitwa balance of terror, ukielewa hii concept utajua Russia na marekani hawawezi piganaChina yupo na mimi hadi mda huu, france,Japan,Germany na UK hawawezi kuwapiga China,Iran na Korea. Vita hii ndio mwisho wa USA kwenye uso wa dunia. Rafiki yang Van amenihakikishia hilo ila kwa sasa hajibu sms zangu ila nitawaletea update maana nachat nae
Putin aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Russia baada ya kuwa Rais Kwa miaka kadhaa. Kwake vita be fursaMkwara wa Putin, umezua taharuki kila pembe ya dunia.
Hata Kama Kuna bima uhai wa mtu haulipwi huwezi sogelea hatari.Kuna BIMA ya majanga ; vita inaingizwa humo!!! Lakini Bongo hawana utamaduni wa kujikinga na majanga ndio maana hata masoko yakiungua watu wanafilisika!! Sio utani kuna wakati ndege za ATC zilikuwa zinaruka bila BIMA!! Unbelievable!!!
Hata Kama Kuna bima uhai wa mtu haulipwi huwezi sogelea hatari.
Ucdhani Russia ni mwepesi hvyo ndugu tangu enzi na enzi America hajawah kuipiga moja kwa moja
Sio rahisi kiasi hicho,
Kushabikia vita isiyo na sababu na kumuita Mvamizi ni Mwamba ni kushangilia ushetani.
...I might not agree with your assestment of the situation considering,you made the assestment prior to Russia de-militarizing Ukraine overnight..
Sioni hata manufaa ya kuwa na Zanzibar
Sawa dingi[emoji23][emoji23][emoji23]ona huyu ijaribu basi
"Juhudi binafsi" hii nchi ni ya mijibwa tu! Hivi watu wapo kujirusha na kusafiri na midege ya kukodi kwa kisingizio cha kutembeza mabakuli wakati watoto wetu wanajificha chini ya miamba kukwepa makombora ya Rusia! Tumeshindwa hata kutumia asilimia 0.001 ya matumizi mabovu kuwaleta wanetu nyumbani jamani! CCM mlaaniwe hadi kizazi cha nne!!Habari za jioni wana Jamii Forums, kwa kweli nimeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine kutolewa na mataifa yao sababu kubwa ni nini? Putin anahusikaje? Tujuzane.
Maestro de Quimica!!OPView attachment 2129084
hupo upo sahihi lakini ni mtu mmoja anayweza aidha kufanya marekani waingie au watulie,Ngoma ikiwambwa sana hupasuka. Putin yuko vizuri sana lakini nahisi sifa zinampanda kichwani sasa. Akiivamia Ukraine itakuwa keshwapa chance kubwa mahasimu wake hasa USA kummaliza kabisa.
Kupitia mtafaruku huu, USA atapata support kutoka kwa washirika wake hivyo kutimiza ndoto yake ya siku nyingi ya kuidunda Russia.
USA alishajua kuwa peke yake haiwezi Russia, lakini sasa atapata support ya wengine.
Sasa huyu kunyaland na yeye kaingiliaje ugomvi wa vigogo? mambo mengine ni kupiga kimya tu watayamaliza wenyewe kwa wenyewe.....View attachment 2129683
Inasikitisha sana waafrika tunadharaulika sana……na viongozi wetu hili naona hawalioni …bado wanapiga magoti kwao wakiamini ukombozi wetu utatoka kwao.
Hivi najiuliza haya madeni tutayalipa na nini km rasilimali kubwa zetu washachukua wanazimiliki….utalii ni mdogo sana, we consume what we do not produce…na tunachozalisha tunauziana wenyewe kwa wenyewe…
Ni tabu kwel mkuuNilidhani ubalozi ungewafanyia taratibu za kuwasafirisha kumbe wanawashauri? Duuuh... Kila mtu ana pesa ya haraka km anatoka na daladala Kariakoo kwenda Mbagala?
Hao wazazi ukute walishalipa ada wanasubiri likizo mwisho wa mwaka huko ndipo mtoto arudi, sahivi ghafla tu hakuna kuwafanyia juhudi za ziada?
Twafwaaa..
Nadhani sasa mnaelewa nini maana ya "TUMIA KURA YAKO VIZURI" unachagua kiongozi, anagombana na kiongozi mwenzake, mnalipuliwa wewe na ndugu zako na kura zenu na mifugo yenu[emoji2375]Yule aliyemuomba Madame aombe vita na Rwanda achukuliwe apelekwe Ukraine.
Ili kutengeneza fair ground akiwa huko akabidhiwe guruneti moja, bastola moja na AK 47 moja.
Kwakua yeye anaamini vita ni kama kwenye muvi hata chakula asigewe tunaamini atakua anawapora maadaui.