I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Sasa serikali inataka raia wake wafanye juhudi binafsi kwa kutafuta usafiri wa umma ingali ikijua airports zimefungwa? Mataifa mengine yanatuma ndege kufuata raia wake ila kwa Tanzania ni tofauti kabisa.