Samahani Bw. PutinUnafikiria Rahisi hivyo
Don't spread your dark paint on Russia. As a matter of fact, kwa sehemu kubwa umezungumza kuhusu USA na siyo Russia.Kuextend eneo lake zaidi
Yaani kwa kifupi ni kwamba RUSSIA inaamini kuwa UKRAINE ni himaya yake, na sio Ukraine tu ni pamoja na nchi zingine za jirani...
USA huyu aliyeshindwa na vijitaifa vidogo kama Meksiko, Venezuela, Taliban na Iran? Are speaking, even?Ngoma ikiwambwa sana hupasuka. Putin yuko vizuri sana lakini nahisi sifa zinampanda kichwani sasa. Akiivamia Ukraine itakuwa keshwapa chance kubwa mahasimu wake hasa USA kummaliza kabisa.
Kupitia mtafaruku huu, USA atapata support kutoka kwa washirika wake hivyo kutimiza ndoto yake ya siku nyingi ya kuidunda Russia.
USA alishajua kuwa peke yake haiwezi Russia, lakini sasa atapata support ya wengine.
Tuko bize na mikopo. Please, please. Priority yetu kwa sasa siyo vita, bali mikopo. Tukishakuwa na deni ^unbebabo^ ndipo tutaenda vitani!Serikali ya Tanzania haina mpango wa kwenda kulinda amani na kuwazuia wanajeshi wa Urusi wasifanye ujambazi?
Je, umeisikia kauli ya foreign minister wa Russia (Sergey Viktorovich Lavrov)?So far ameshaanza kulalamika kufuatia vikwazo vya kiuchumi vya nchi za magharibi
Kama hawana nauli serikali inawasaidiaje?Habari za jioni wana jamii forums,Kwa kwel nmeona suala la ndugu Watanzania walioko Ukraine kutakiwa kurudi Tanzania na wengine Kutolewa na mataifa Yao ,Sababu kubwa ni nini?Putin anahusikaje ?Tujuzane
Maestro de Quimica!!OPView attachment 2129084
Kushabikia vita isiyo na sababu na kumuita Mvamizi ni Mwamba ni kushangilia ushetani.Mkuu huko kuna tishio la kutokea kwa vita ambapo mbabe wa kremlin unaweza mwita mwamba Vladimir Putin anaonesha tishio la kutaka kuivamia nchi jirani ya Ukraine na tiari juzi keshayatangazia uhuru majimbo mawili ya Ukraine ambayo ni Luhansk na Donetsk ambayo yapo mashaliki mwa Ukraine na yana watu wengi wene asili ya urussi pia kapelekea maelfu ya vifaa vya kivita mpakani mwa ukraine pia kaizunguka Ukraine upande wa Russia, Belarus na Black Sea kwani kote huko kuna wanajeshi zaidi ya 160000 Ko hali ya kiusalama sio nzuli ukizingatia majeshi ya Russia tiali yapo kwene hayo majimbo mawili hivyo mda wowote anaweza ishambulia Ukraine mpk mji mkuu kievi na kuinyakua yote.
Hilo ni shinikizo la Joe Biden Marekani. USA akikohoa ulimwengu wote (usiojitambua) unapata homa! Ni njia ya kuitafutia Russia makosa.Huu ushabiki wa hii vita sijui vurugu ni mimi tu ambaye sielewi au
Nimecheka taarifa ya serikali inasema wanani warudi nyumbani kwaniiii ndio leo wamesikia vuguvugu la huko au
USA ni sungura, hapigani mwenyewe. Siku zote analianzisha kutegemea support ya wenza wake.USA huyu aliyeshindwa na vijitaifa vidogo kama Meksiko, Venezuela, Taliban na Iran? Are speaking, even?
Kagame akija na wale bodigadi wake wale warefu wanne tu, kazi kwisha mapema pale Ikulu Magogoni!Yule aliyemuomba Madame aombe vita na Rwanda achukuliwe apelekwe Ukraine.
Ili kutengeneza fair ground akiwa huko akabidhiwe guruneti moja, bastola moja na AK 47 moja.
Kwakua yeye anaamini vita ni kama kwenye muvi hata chakula asigewe tunaamini atakua anawapora maadaui.
Usungura wake ulishajulikana kitambo tu mbona! Na wale wanaomkubalia ni sungura vichwa-maji tu. Wajanja wote wanamwitikia, ila wanabwekea maili mia huko kutoka uwanja wa vita.USA ni sungura, hapigani mwenyewe. Siku zote analianzisha kutegemea support ya wenza wake.
USA akingia na KOREA KASKAZINI & CHINA , SOME OF ARABIC COUNTRIES SUCH AS IRAN WATAKUWA UPANDE WA RUSSIA....na inaweza tokea THIRD WORLD WAR...Ngoma ikiwambwa sana hupasuka. Putin yuko vizuri sana lakini nahisi sifa zinampanda kichwani sasa. Akiivamia Ukraine itakuwa keshwapa chance kubwa mahasimu wake hasa USA kummaliza kabisa...
Ndoto za mchana. USA na mamluki wenzake watakachoweza kufanya ni kubweka na kumuwekaa vikwazo mbuzi tu. Wamarekani wa Tandale mjifunze kuheshimu wakubwa wenzeni ama sivyo mtapata taabu sanaaaNgoma ikiwambwa sana hupasuka. Putin yuko vizuri sana lakini nahisi sifa zinampanda kichwani sasa. Akiivamia Ukraine itakuwa keshwapa chance kubwa mahasimu wake hasa USA kummaliza kabisa.
Kupitia mtafaruku huu, USA atapata support kutoka kwa washirika wake hivyo kutimiza ndoto yake ya siku nyingi ya kuidunda Russia.
USA alishajua kuwa peke yake haiwezi Russia, lakini sasa atapata support ya wengine.
Marekani ndiye chanzo cha migogoro yote!Kushabikia vita isiyo na sababu na kumuita Mvamizi ni Mwamba ni kushangilia ushetani.
Mtu kaisha ingia kule hao wa tandale na NATO yao sijui watafanyajeNdoto za mchana. USA na mamluki wenzake watakachoweza kufanya ni kubweka na kumuwekaa vikwazo mbuzi tu. Wamarekani wa Tandale mjifunze kuheshimu wakubwa wenzeni ama sivyo mtapata taabu sanaaa
Sawa Mmarekani wa MpalangeNdoto za mchana. USA na mamluki wenzake watakachoweza kufanya ni kubweka na kumuwekaa vikwazo mbuzi tu. Wamarekani wa Tandale mjifunze kuheshimu wakubwa wenzeni ama sivyo mtapata taabu sanaaa
Kujadili hao Umbwa ni kupoteza muda ndugu hayo maMtu yanatumia makalio kufikiriYule aliyemuomba Madame aombe vita na Rwanda achukuliwe apelekwe Ukraine.
Ili kutengeneza fair ground akiwa huko akabidhiwe guruneti moja, bastola moja na AK 47 moja.
Kwakua yeye anaamini vita ni kama kwenye muvi hata chakula asigewe tunaamini atakua anawapora maadaui.