Watanzania walioko Ukraine watakiwa kurudi Tanzania

Raisi Wa ukraine akiwa Mbel(frontline) kupambania raia wake
 
Kuna wakati mtu anaweza akaona bora abaki eneo lenye vita kuliko kurudi Tanzania
 
Mnamjua Putin ??? Nchi yoyote itakayojaribu kuingilia operation yake itajibiwa vikali.

Narudia tena, NCHI YOYOTE.
 
Wanatoka kwa njia gani ikiwa hata anga la Ukraine limefungwa.?
 
USA!! wana kiherehere sana!!..... hawa mabepari yaani kila nchi wanaitaka!! sasa wamegonga mwamba, wamesafiri weeee!! kutoka kuleee mbali! wamecoma amfuta, wamegharimia jeshi vyakula na tiba sasa ile kufika tu ngoma nzito!..sijawasikia wao USA kusema sema lolote mpaka sasa!! lkn wakituomba msaada tutawapelekea !!

vijana wetu Lugalo miili inawawasha wanataka kunyoosha misuri!!...Wkt wanakwenda na midege yao!! wa rassia walijifanya wako mpakani huko wanafanya mazoezi!! kuumbe wana walia USA timingi tu!! asa sijui watarudi ama>>
 
dharau sana hiii............. amri wamepewa!! wameambiwa wanajeshi wote warudi nyumbani kwa familia zao!! sasa wajamaeni huyo Rais ana salama kweli??
 
Vip ameidunda au ndo anasema hatak kupoteza wanajesh wake😂😂
 
Tangazo hili linaonesha upofu na ujinga uliokithiri kwenye mifumo yetu.
Hii ilikuwa ni fursa ya serikali kuwasaka wenzetu na kuhakikisha wanarudishwa wakiwa salama.
Ifike hatua serikali na viongozi wake wajifunze kujali maslahi, afya na uhai wa Mtanzania yeyote.
Kama wanahudumiwa watu kwenda Dubai Expo inashindikana nini kuwahudumia wahanga wa majanga yaliyo nje ya uwezo mipango yao??
 
Yako wapi?? Kaufyata huko
 
Inabidi wajiongeze kutegemea serikali kutawaponza wajiunge na wananchi wanaoikimbia nchi kwenda sehemu salama kama poland na kwingineko waokoe maisha yao,kutegemea wabongo nyoso ni hatari kwao.
 
Inabidi wajiongeze kutegemea serikali kutawaponza wajiunge na wananchi wanaoikimbia nchi kwenda sehemu salama kama poland na kwingineko waokoe maisha yao,kutegemea wabongo nyoso ni hatari kwao.
Kwel sababu Nmeona zaid ya 50 wamekimbilia poland
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…