Russia ana maslahi gani huku Africa au hata hapa Tanzania?Hakutusaidia kupata Uhuru kamili. Bali kupigania maslahi yake Afrika dhidi ya Magharibi. Na Russia haikutusaidia lolote la maana zaidi ya bunduki na Vifaru. Nchi karibu zote zilizokuwa chini ya Russia ziliishia kupigana vita vya wenyewe kwa wenyewe na umasikini mkubwa. Wakati Magharibi wakiwekeza kwa huduma za kijamii na elimu
Unatakaje wakati mpakani kuelekea Poland Waafrika hawapiti wanarudishwa wakapigane vita? Siyo kila kitu ni kuandika tu. Yaani unataka raia wetu wafe ndani ya Ukraine? Kabisa hii ni mada eti kisa Urusi imetengwa!Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.
Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.
Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.
Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Uungwaji mkono wa Sera zake za kibabe. Uon hatukupiga kura kulaani uvamizi. Kama dunia yote ingepinga angejiona mkiwa. Pili NI kuzuia maslahi ya Magharibi Afrika. Na tatu ndio muuzaji mkubwa wa slaa afrikaRussia ana maslahi gani huku Africa au hata hapa Tanzania?
Wakae kimya ili Mambo yakiharibika mje muwatukane..?Wanajustfiy tu! Basi lingefanyika kimya kimya sio kuonesha wema wa Urusi wakati ambao dunia inashuhudia ukatili wake wa Hali ya juu kabisa kwa watu wa Ukraine
Hakuna hoja hapa William Mshumbusi.Jikite kwenye hoja kistaarabu tu. Ndio msingi wa kuheshimu hoja
Inaonesha hujui historia ya Russia na Tanzania. Unafuata mkumbo tu ati kisa dunia imeitenga Russia. Kwani ni Tanzania tu ambayo haikupiga kura. Sasa kuna nchi ambazo zimepiga kula ya kutokukubaliana na maazimio ya UN dhidi ya Russia.Ubaya wote hamna hoja NI vijembe na matusi. Nimezungumza vitu viwili hapo. Kwanza Tanzania kutopiga kura kulaani uvamizi na Kisha watanzania kupitia Russia badala ya Poland au nchi nyingine NI doa sababu Sasa Russia inatengwa kimataifa. Nchi zinatoa raia Russia nyie mnapitia uko.
Urusi ni ndugu yetu wa damu. Putin amekaa hapo bagamoyo miaka minne akifundisha wapigania uhuru na majeshi yetuSijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.
Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.
Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.
Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Urusi ni taifa teule la Mungu atakaelibariki naye atabarikiwa, na atakayelichukia atalaaniwa na atakayejaribu kuipiga Urusi ataangamizwa kwenye uso wa dunia.
Wewe unaongea kwa hisia tuliza moyo then tumia akili sio moyo.Sijui Diplomasia ya Tanzania ikoje. Jambazi anavamia sehemu. Alafu unaruhusu akuondoe wewe ni kuonesha taifa halijui Nini Cha kufanya wakati gani.
Kipindi ambacho Tawala za Afrika zenye democracy uchwara, Ubabe na uonevu mkubwa kwa wakosoaji wa viongozi zikijizuia kulaani uvamizi. NI ishara kuwa udkkteta duniani unasimikwa na Tawala Hilo.
Kipindi hichi ambacho mwenyeji wako anapigwa na adui unakubali vipi adui akusaidie kutoka kwa mwenyeji na kukusafirisha?
Ivi vita ikiisha Leo Kuna watanzania watapokelewa Ukrane kweli. Hilo sio sawa kabisa.
Kama Urusi inalinda udkkteta duniani Basi lazima tukubali tu kumtenga kwa Sasa.
Baada ya vita uchumi wake utaumia na watakuwa bize kuujenga Tena chini ya vikwazo na madeni kibao.
Russia haijawahi kusaidia masikini wananchi vitu vya msingi zaidi ya kusaidia madikteta kutawala na baadae kuleta machafuko.
Nashauri tujitenge na Russia mapema tusikose mema ya duniani. Yasitukute ya 1984. Tunaimba ujamaa tunapigwa njaa tunaenda kupigia magoti Mabepari yanatupa mahindi kulisha watu wetu.
Wewe unaongea kwa hisia tuliza moyo then tumia akili sio moyo. Kama sivyo basi umezaliwa miaka ya 2000 na kama sio basi ww boya na zwazwa na zumbukukuKoma wewe.
Huoni wanavyofanyiwa Ubaguzi Wanafunzi weusi kwenye mipaka ya Ukraine!
Ulitaka Nchi yetu ifanyeje?
Muhimu ni kuokoa uhai wa watu haijalishi wanapita mpaka gani!
Huu ushabiki maandazi usikufanye ukapoteza rationality ya fikra!
Ukisema Urusi haisaidii maskini utakuwa zamwamwa tu.
Wanafunzi zamani walikuwa wakifaulu vizuri wanapata full scholarship Urusi,wanaondoka na begi tu!
Unajua harakati za ukombozi wa Afrika bila mchango wa Urusi zisingewezekana!
Urusi walikuwa wakileta shehena ya Silaha kwa Kamati ya Ukombozi,hakukuwepo na Nchi yoyote ile Ulaya iliyotusaidia Waafrika kama Urusi,narudia tena Hakuna.
Kama huoni umuhimu wa mtu aliyekufundisha Uvuvi na kukupa nyavu na mshipi,ukamuona anayekupa mnofu wa samaki ndiye mwenye maana wewe huna tofauti na punguani.
IDUMU URUSI.