Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kijiografia Uturuki iko bara la AsiaAmetaja Uturuki.
Au unafikiri Uturuki ipo Uarabuni Mashariki ya Kati?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijiografia Uturuki iko bara la AsiaAmetaja Uturuki.
Au unafikiri Uturuki ipo Uarabuni Mashariki ya Kati?
alafu leo umemwachia mtoto A\c mbona uandishi wa leo hata kwenyye sarufi unatia shaka mama.Ukulinde n ini ubalozi zaidi ya wewe mwenyewe kujilinda kwanza?
Mnaqmbiwa mkutaka kwenda nje ya nch8 kufanya kazi patient kwa mawakala wenye leseni, nyue mnajiendea tu.
Tanzania hulindwi, utalindwa nje? Tutumie akili kidogo.
Basi wasilalamike, wakubaliane na matokeo ya uamuzi wao mbaya.Mkuu kwa hali iliyopo Nchini Tanzania hali ni ngumu sana na kazi hata akija mwekezaji wanapewa watoto na makada wa CCM na marafiki zao
Watu wengi wanaona ni bora kwenda kunyanyasika kwa waarabu kwasababu hawana jinsi.
Sasa hapa Bongo Visichana vinajiuza na kukazwa na kufa kabla ya kutimiza miaka 25.Basi wasilalamike, wakubaliane na matokeo ya uamuzi wao mbaya.
"Mwana kulitafuta Mwana kulipata."
Hivi wewe unaelewa kweli utawala wa kiimla ambao upo ktk nchi za Kiarabu?? Unafahamu mfumo wa utawala wa Kiislamu unafuata misingi ya Sheria za Kiislamu, yaani "SHARIA."?? Unafikiri ni kwa nini watu kama Jamal Khashogi waliuawa au mtu kama Malala Yousafzai alimininiwa risasi kama tembo wa msituni? Unazijua sababu zake za watu hawa kufanyiwa hivyo?Ushauri wangu ni Waafrika wote walioko Uarabuni wafungue UMOJA wao kwa ajili kujitetea na kusaidiana Mwarabu na Maajenti feki wakiona hivyo wataogopa.
Qatar wame abolish Kafala System wamebakia hao wengine.Hivi wewe unaelewa kweli utawala wa kiimla ambao upo ktk nchi za Kiarabu?? Unafahamu mfumo wa utawala wa Kiislamu unaifuata misingi ya Sheria za Kiislamu, yaani "SHARIA."?? Unafikiri ni kwa nini watu kama Jamal Khashogi waliuawa?
Balaa tupuYaan watu wakivurugwa wanaandika chochote mahali popote mkuu. Sasa sijui alijua kaanzisha Uzi mpyaaa ndio kaupload hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uongo mtupu.
Huyu Bibie ametekwa Akili anstahili kuhurumiwa sana.Kwa kuwa ni uwongo, peleka wanao na wapwaa zako.
WHO pia ilitoa angalizo, japo baadaye ilikanusha kuwa halikuwa angalizo la WHO bali ofisa mmoja wa WHO.
Kumbe kuna wanaolawitiwa ubichi ubichiTatizo la wabongo wengi wanataka kusafisha nyota kwa kupanda ndege hata kama huko anakoenda anaenda kulawitiwa kavu kavu.
Wapo mpaka wanangu huko, nna ndugu zangu kabisa, hao wapwa (nieces,nephews na cousins) ndiyo usiseme.Kwa kuwa ni uwongo, peleka wanao na wapwaa zako.
WHO pia ilitoa angalizo, japo baadaye ilikanusha kuwa halikuwa angalizo la WHO bali ofisa mmoja wa WHO.
Nimegundua kitu, ukiwa mtumwa wa dini , unakuwa huna akili, ndo mana wazungu na waarabu wametumia dini kututoa akili,,Uongo mtupu.