Watanzania waliopo Uarabuni na Ulaya wanapokonywa Pasipoti nakutumikishwa; pasipoti hizo zinatumika vibaya. Serikali ifuatilie

Watanzania waliopo Uarabuni na Ulaya wanapokonywa Pasipoti nakutumikishwa; pasipoti hizo zinatumika vibaya. Serikali ifuatilie

Ukulinde n ini ubalozi zaidi ya wewe mwenyewe kujilinda kwanza?

Mnaqmbiwa mkutaka kwenda nje ya nch8 kufanya kazi patient kwa mawakala wenye leseni, nyue mnajiendea tu.

Tanzania hulindwi, utalindwa nje? Tutumie akili kidogo.
alafu leo umemwachia mtoto A\c mbona uandishi wa leo hata kwenyye sarufi unatia shaka mama.
 
Ushauri wangu ni Waafrika wote walioko Uarabuni wafungue UMOJA wao kwa ajili kujitetea na kusaidiana Mwarabu na Maajenti feki wakiona hivyo wataogopa.
 
Mkuu kwa hali iliyopo Nchini Tanzania hali ni ngumu sana na kazi hata akija mwekezaji wanapewa watoto na makada wa CCM na marafiki zao

Watu wengi wanaona ni bora kwenda kunyanyasika kwa waarabu kwasababu hawana jinsi.
Basi wasilalamike, wakubaliane na matokeo ya uamuzi wao mbaya.
"Mwana kulitafuta Mwana kulipata."
 
"Tano, pasipoti zote zilizopotea au zinazoshikiliwa na waajiri huku zikiwa zimeripotiwa kupotea, zitangazwe hadharani Duniani ili kuiwekea ulinzi na uaminifu pasipoti yetu".

Binafsi naona hii nukta ni ya muhimu sana. Serikali ichukue hatua sasa!
 
Basi wasilalamike, wakubaliane na matokeo ya uamuzi wao mbaya.
"Mwana kulitafuta Mwana kulipata."
Sasa hapa Bongo Visichana vinajiuza na kukazwa na kufa kabla ya kutimiza miaka 25.

Kwahiyo unashauri vikazwe hapahapa Nchini kuliko kwenda kukazwa na Waarabu?
 
Ushauri wangu ni Waafrika wote walioko Uarabuni wafungue UMOJA wao kwa ajili kujitetea na kusaidiana Mwarabu na Maajenti feki wakiona hivyo wataogopa.
Hivi wewe unaelewa kweli utawala wa kiimla ambao upo ktk nchi za Kiarabu?? Unafahamu mfumo wa utawala wa Kiislamu unafuata misingi ya Sheria za Kiislamu, yaani "SHARIA."?? Unafikiri ni kwa nini watu kama Jamal Khashogi waliuawa au mtu kama Malala Yousafzai alimininiwa risasi kama tembo wa msituni? Unazijua sababu zake za watu hawa kufanyiwa hivyo?
 
Hivi wewe unaelewa kweli utawala wa kiimla ambao upo ktk nchi za Kiarabu?? Unafahamu mfumo wa utawala wa Kiislamu unaifuata misingi ya Sheria za Kiislamu, yaani "SHARIA."?? Unafikiri ni kwa nini watu kama Jamal Khashogi waliuawa?
Qatar wame abolish Kafala System wamebakia hao wengine.

qatar_slashes_kafala.png
 
Muisilamu pure hawezi kuwatetea hawa Washenzi.
 
Kuna Mtandao huko Uarabuni umeanzishwa kwa ajili ya kuuza Wasichana na Wanawake wanaofanya kazi za ndani ni kama Biashara ya UTUMWA tu.
 
Kwa kuwa ni uwongo, peleka wanao na wapwaa zako.

WHO pia ilitoa angalizo, japo baadaye ilikanusha kuwa halikuwa angalizo la WHO bali ofisa mmoja wa WHO.
Huyu Bibie ametekwa Akili anstahili kuhurumiwa sana.
 
Hakuna rofauti kati ya Arab Slave Trade na Kaafala System kilichobadilika ni Majina tu.

Inatakiwa tushirikiane kupambana na hii Sytem mpaka itoweke Duniani

Arab-Slave-Trade.jpg


"Asiejua UTU ni Kinyama cha MWITU"
 
Kwa kuwa ni uwongo, peleka wanao na wapwaa zako.

WHO pia ilitoa angalizo, japo baadaye ilikanusha kuwa halikuwa angalizo la WHO bali ofisa mmoja wa WHO.
Wapo mpaka wanangu huko, nna ndugu zangu kabisa, hao wapwa (nieces,nephews na cousins) ndiyo usiseme.

Mimi mwenyewe, nimeishi au kutembelea nchi kadhaa za Kiarabu katika maisha yangu.

Tusidanganyane hapa.
 
Linapokuja suala la kula ushuzi waarabu ni sehemu ya utamaduni ukifanya kazi kwa mwaarabu lazima ufumuliwe mtaro yaani unakuwa sharubati ya familia hadi wageni wakija watakubandua na sababu za msingi zipo:
1. Nchi nyingi za kiarabu hakuna biashara ya kuuza mwili kwa hiyo hawana sehemu ya kushushia shida zao za ziada. (Tofauti na kwetu mfano Zenji mishoga ya kumwaga na unaamua wewe ukalifumulie wapi ndo maana waarabu hawakauki zenji)

2. Nchi za kiarabu sheria kali za kutofanya ujinga na wangeruhusu kwa akili zao wangepigana mtungo mchana kweupee
 
Back
Top Bottom