Labda akina Mwanzi1 watakuelewa maana imetoka kwa Mtanzania.
..jambo linalonisumbua zaidi ni jinsi siasa za Tz zilivyoingiliwa na mambo ya KIKATILI ambayo nilidhani hayawezekani kutokea huku kwetu.
..UVUMILIVU wa tofauti za kiitikadi na mawazo mbadala unatoweka kwa kasi ya kutisha. HOJA inayoshinda ni ya yule mwenye NGUVU na si yule mwenye USHAWISHI.