Watanzania walivyo wanafiki, makelele ya Palestina ilhali wana uswahiba na mkoloni Morocco

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Baada ya tukio la juzi kwa Kenya kutokuhusika kwenye upigaji wa kura kwenye mswada wa Umoja wa Mataifa kuhusu uamuzi wa Marekani kwamba Jerusalem ndio mji mkuu wa Israel, Watanzania wametokwa povu la omo huku wakishutumu Kenya, wengine wanakesha JF kabisa kwa ajili ya hili hadi nawaza hivi jameni watu huwa hawana muda wa mapumziko, hata muda wa kwenda kula, hata kama mnalipwa.

Sasa hawa hawa Watanzania kwa jinsi walivyo wanafiki, juzi wamemkenulia meno na kumpokea mfalme wa Morocco baada ya kuja kwao na kuwaahidi kuwajengea uwanja wa mpira na misikiti na vipochopocho vyote (hivi ahadi zake hizo alitekeleza? Au ndio yale yale). Huyu mfalme huko kwake ni mkoloni ambaye amelikalia taifa la Western Sahara kibabe, taifa hili limetambuliwa hadi na UN.

Leo mnajifanya kuwapigia Wakenya makelele kuhusu Wapalestina (ambao mgogoro wao na Israel wanaujua wenyewe maana hauishangi tumeuskia tangu tukiwa watoto) na hapa Afrika mnamuunga mkono na kumshobokea mkoloni Mwafrika anayelikoloni taifa la Kiafrika tena anatumia ubabe. Yaani bila hata aibu mnadhihirisha unafiki wa kiajabu.
 
Spot on. Wanashughulika na Nchi za Middle East wakati Mwafrika mwenzao ananyanyaswa na Mwafrika mwingine na kunyamaza haya yakitendeka. Ni ishara tosha ya unafiki.
 
Kwa hili nipo pamoja na Serikal yetu ya Tanzania sio kwa kukataa Jerusalem kuwa Mji Mkuu wa Isarel Bali kwa kupiga kura iwe kukubali au kukataa, Mataifa yaliyoamua kutopiga kura kabisa yameonesha hayajiamini kabisa!
 
Tatizo la wakenya wengi humu JF wana akili ndogo sana kama za kuku, hawana uelewa wa mambo ya kidunia, pia wamezaliwa na kukuzwa katika mazingira ya rushwa na ukabila kwa hiyo hawaamini kwamba haiwezikani jambo kufanyika bila rushwa au malipo, kama hakuna malipo basi lazima kuna nguvu za ukabila, hii ndiyo sababu Kenya kamwe haitokaa ipate amani na itaendelea kukatika vipate vipande kwa misingi ya rushwa na ukabila..
 
Mmekosa misimamo mnaogopa nn,Kwani mngesema Ndio au Hapana mngelala njaa?

Kunyamaza maana yake ni nn Ni ndio au hapana?Nyang'au is real

Inatuhusu nini labda, hao Wapalestina na Waisrael ugomvi wao wa kabla hujazaliwa wewe, leo ndio unafikiria kuutatua kwa kura.

Mumepeleka kiherehere huko ilhali hapa Afrika mnalamba miguu ya mkoloni wa Morocco kisa ameahidi kuwajengea msikiti.
 
Akili za kuku hizi.
 
Issue mezani ni kwann hajampiga kura,waliopiga kura kwani wao inawahusu nn?Rais wenu angekua ke tungesema ni kakosa maaamuzi ila ni me
sasa ndio mmeonekana mapimbi wa ukanda!!
Morocco nyie wanawahusu nn Kwan?
Wameomba kurudi kwenye umoja so mlitakaje?izo posho ndogo ndogo ni kati yetu na wao nyie endeleeni kukuna vichwa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana una hoja nzuri sana. Lakini katika haya yako ya kwanza umeboronga sana.

Katika karne hii mahusiano ya kimataifa yananguvu sana mpaa kubusisha nchi zote dunianj kwa maana ya kiuchumi, jamii na kisiasa.

Nibu lako la midiplomasia labda ungejalibu kusema. Ni haki yako kuamua kupiga kura ama kukataa kupiga kura.

Swali je watu wote wange amua kufanya kama nyinyi sasa kungekuwa na umuhimu wa kuwepo kikaoni!?. Kungekuwa na umuhimu wa wawakilishi kikaoni!?. Yaani maana ake kungekuwa na kura "0".
 
Hamna tofauti na nilichokisema, maana kura unapiga kama unayo haja ya kupiga, hakuna anayelazimishwa au kuelekezwa bastola kichwani, ni maamuzi binafsi ya kila nchi bila shuruti.
Sio Kenya pekee waliosusia, kuna nchi zingine lakini la kushangaza, kati ya nchi zote duniani nyie pekee ndio mnaojisifu eti mlipiga kura.
 
Issue mezani ni kwann hajampiga kura,waliopiga kura kwani wao inawahusu nn?Rais wenu angekua ke tungesema ni kakosa maaamuzi ila ni me
sasa ndio mmeonekana mapimbi wa ukanda!!
Morocco nyie wanawahusu nn Kwan?
Wameomba kurudi kwenye umoja so mlitakaje?izo posho ndogo ndogo ni kati yetu na wao nyie endeleeni kukuna vichwa

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app

Nimeuliza hili swali, kwani ilikua shuruti, ilikua lazima?? Tupige kura kuwafurahisha nyie?
Morocco inatuhusu maana amekalia taifa la Kiafrika wakati nyie mnamlambalamba na kupeleka kiherehere kwa Wapalestina na Waisraeli.
Onyesha ukomavu wako nyumbani Afrika kabla ya kujifanya mtetezi wa nchi za mbali, sio huu unafiki wa kwenda kucheka cheka kule ilhali hapa Afrika unafumba macho.
Vipi mfalme aliwajengea msikiti au kawatapeli...
 
Wakenya mnaliwaaa *****

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Inatuhusu nini labda, hao Wapalestina na Waisrael ugomvi wao wa kabla hujazaliwa wewe, leo ndio unafikiria kuutatua kwa kura.

Mumepeleka kiherehere huko ilhali hapa Afrika mnalamba miguu ya mkoloni wa Morocco kisa ameahidi kuwajengea msikiti.
Acha wenge Morocco ni nchi yakawaida sana na ubabe wake haufikii tanganyika kwa Wazanzibari
 
Baada ya tukio la juzi kwa Kenya kutokuhusika kwenye upigaji wa kura kwenye mswada wa Umoja wa Mataifa kuhusu uamuzi wa Marekani kwamba Jerusalem ndio mji mkuu wa Israel, Watanzania wametokwa povu la omo huku wakishutumu Kenya, wengine wanakesha JF kabisa kwa ajili ya hili hadi nawaza hivi jameni watu huwa hawana muda wa mapumziko, hata muda wa kwenda kula, hata kama mnalipwa.

Sasa hawa hawa Watanzania kwa jinsi walivyo wanafiki, juzi wamemkenulia meno na kumpokea mfalme wa Morocco baada ya kuja kwao na kuwaahidi kuwajengea uwanja wa mpira na misikiti na vipochopocho vyote (hivi ahadi zake hizo alitekeleza? Au ndio yale yale). Huyu mfalme huko kwake ni mkoloni ambaye amelikalia taifa la Western Sahara kibabe, taifa hili limetambuliwa hadi na UN.

Leo mnajifanya kuwapigia Wakenya makelele kuhusu Wapalestina (ambao mgogoro wao na Israel wanaujua wenyewe maana hauishangi tumeuskia tangu tukiwa watoto) na hapa Afrika mnamuunga mkono na kumshobokea mkoloni Mwafrika anayelikoloni taifa la Kiafrika tena anatumia ubabe. Yaani bila hata aibu mnadhihirisha unafiki wa kiajabu.
Ulevi wa asubuh asubuh cio
 
Wakristo baadhi huhalalisha dhulma ya Israel dhidi ya wapalestina wakihisi wanamfurahisha Yesu. Hata mngemuwekea Yesu kiwanja yerusalem akija hatakijenga maana hapendi dhulma
 
Nimeuliza hili swali, kwani ilikua shuruti, ilikua lazima?? Tupige kura kuwafurahisha nyie?
Morocco inatuhusu maana amekalia taifa la Kiafrika wakati nyie mnamlambalamba na kupeleka kiherehere kwa Wapalestina na Waisraeli.
Onyesha ukomavu wako nyumbani Afrika kabla ya kujifanya mtetezi wa nchi za mbali, sio huu unafiki wa kwenda kucheka cheka kule ilhali hapa Afrika unafumba macho.
Vipi mfalme aliwajengea msikiti au kawatapeli...
Hizi ni akili za kuku, mlikuwa wapi wakati wareno na makaburu wanawatesawaafrika huko kusini mwa Afrika?, si mlikua na wazungu wanawanyonya ndimi, kitu gani Kenya imeifanyia Africa, hata huko Morroco Kenya imefanya nini kuisaidia west Sahara?. Ubaguzi wenu umevuka mipaka, kwasababu Palestinians sio waafrika kwahiyo hawastahili kusaidiwa na nchi za Africa?, ninyi mliposaidiwa chakula na China kwani China ipo Africa?..Akili za kuku zilizojaa ubaguzi wa kikabila.
 
Back
Top Bottom