Umemaliza!Anachojaribu kusema kingekuwa na maana endapo watawala wangeruhusu maandamano na kuvitaka vyombo vya ulinzi viwape ulinzi waandamaji halafu waandamanaji WASIJITOKEZE kuandamana.
Tofauti na hapo, unachosema wewe ni sawa na mimi nikukamate, nikuchukue simu yako kisha nikufungie kwenye chumba chako halafu nije hapa Jamiiforums niseme kwamba, Ritz amegomea kabisa kufanya propaganda za kutetea watawala na mambo yao yote.
Toa hakikisho la maoni haya.Wanaukumbi.
WATANZANIA WAMEKATAA VURUGU.. WATANZANIA WAMEKATAA MAANDAMANO..WATANZANIA WAMECHAGUA AMANI.... π
Tulipokuwa tunasema watu walikodishwa kufanya vurugu na uasi tarehe 29 Oktoba 2025 wengi walikuwa hawataki kuelewa na walikuwa na mashaka na kauli zile. Tuliposema wamekodiwa mamluki kutoka Kenya na wanaharakati kutoka Kenya kufanya haya mambo wengi wenu mlikuwa hamtaki kusikiliza na kuelewa.
Kilichotoklea jana na kufeli kwa maandamano ya vurugu ni kielelezo kuwa tarehe 29 Oktoba watu walilipwa na wengi waliokuwa wanachoma moto miundombinu na mali za nchi hii hawakuwa watanzania na walikuwa ni maaluki waliokodoshwa na kulipwa kuja kufanya kazi waliyoifanya siku ile...
Haya sasa yale maandamano yasiyo na kikomo ya wanaharakati yako wapi? Jana siku ya Uhuru kwa maana ya 9 Disemba imepota kwa utulivu wa hali ya juu sana na watanzania walitii amri ya serikali ya kusalia nyumbani na kuacha vyombo vya dola vishughulike na wahalifu wanaojiita waandamanaji.
Nimechekeshwa sana na kauli ya wanahaharakati baada ya kufeli kwa maandamano yao ya jana wanasema eti polisi waliweka road blocks! Sasa walitaka waweke nini? Masinia ya pilau? Au masinia ya ugali na samaki ili wakale? Kichekesho kikubwa zaidi ni pale wanaposema eeeh tumesimamisha nchi na shughuli zote. Kwani jana kulikuwa na shughuli gani ? Si ilikuwa ni siku ya mapumziko au?
kwa kifupi ni kuwa maandamano yale yamefeli vibaya sana na hakuna mtanzania aliye tayari kuona maandamano yasiyo na kikomo yasiyo na maana wala tija tena yanachochewa na watu wamejificha huko mitandaoni !
Kama kuna fundisho gumu sana wanaharakati wamelipata basi ni jana na wamekoma na hawatakaa warudie tena! Eti wanatoka watu milioni 10? Yaani milioni 10 kivipi? Yaani milioni kumi kwenda wapi? haya sasa mmedanganya wafadhili wenu kuwa watu milioni 10 watatoka mkaishia kutoka watu SIFURI π
WATANZANIA wameonyesha uzalendo wa hali ya juu sana jana na wameonyesha kuipenda nchi yao kwa dhati na kwa vyovyote vile wamekataa kutumika kuharibu nchi yao na wamekataa propaganda za wanaharakati uchwara!
Watanzania wana kazi za kufanya kwa ajili ya maisha yao na huu ujinga wa Maria, Mange na genge lao eti kuna maandamano yasiyo na kikomo ni upumbavu na kama wanayataka kweli waje wayaongoze hayo maandamano hapa Tanzania tuone...
Maandamano ni vurugu ??Wanaukumbi.

AISOME; LEMA, MALISA,TWAHA MWAIPAYA, ROSE MAYENGA, KIBIBI HILDA NEWTON, HECHE, MNYIKA, BIBI MARIA SARUNGI,NARUVAZI 90 NA MWISHO KABISA MANGE KIMAVI.Wanaukumbi.

SI UNNGEJITOKEZA WEWE KIMAJana policccm na jwtz ndio waliweza kuandamana peke yao!
Unaonekana ni mtu mzima ila umetawaliwa na chuki ya udini.labda wamehofia kukatwa vichwa na muslims, its not over till its over ...
na tunataka msako uendeleeJana policccm na jwtz ndio waliweza kuandamana peke yao!
Watanzania hawana uhuru, wamelazimishwa kukaa ndani siku ya uhuru wa nchi yao, af mnakuja na ngonjera kuwa wamekataa vurugu. Sio jambo la kujivuna kufungia wananchi ndani.Wanaukumbi.
WATANZANIA WAMEKATAA VURUGU.. WATANZANIA WAMEKATAA MAANDAMANO..WATANZANIA WAMECHAGUA AMANI.... π
Tulipokuwa tunasema watu walikodishwa kufanya vurugu na uasi tarehe 29 Oktoba 2025 wengi walikuwa hawataki kuelewa na walikuwa na mashaka na kauli zile. Tuliposema wamekodiwa mamluki kutoka Kenya na wanaharakati kutoka Kenya kufanya haya mambo wengi wenu mlikuwa hamtaki kusikiliza na kuelewa.
Kilichotoklea jana na kufeli kwa maandamano ya vurugu ni kielelezo kuwa tarehe 29 Oktoba watu walilipwa na wengi waliokuwa wanachoma moto miundombinu na mali za nchi hii hawakuwa watanzania na walikuwa ni maaluki waliokodoshwa na kulipwa kuja kufanya kazi waliyoifanya siku ile...
Haya sasa yale maandamano yasiyo na kikomo ya wanaharakati yako wapi? Jana siku ya Uhuru kwa maana ya 9 Disemba imepota kwa utulivu wa hali ya juu sana na watanzania walitii amri ya serikali ya kusalia nyumbani na kuacha vyombo vya dola vishughulike na wahalifu wanaojiita waandamanaji.
Nimechekeshwa sana na kauli ya wanahaharakati baada ya kufeli kwa maandamano yao ya jana wanasema eti polisi waliweka road blocks! Sasa walitaka waweke nini? Masinia ya pilau? Au masinia ya ugali na samaki ili wakale? Kichekesho kikubwa zaidi ni pale wanaposema eeeh tumesimamisha nchi na shughuli zote. Kwani jana kulikuwa na shughuli gani ? Si ilikuwa ni siku ya mapumziko au?
kwa kifupi ni kuwa maandamano yale yamefeli vibaya sana na hakuna mtanzania aliye tayari kuona maandamano yasiyo na kikomo yasiyo na maana wala tija tena yanachochewa na watu wamejificha huko mitandaoni !
Kama kuna fundisho gumu sana wanaharakati wamelipata basi ni jana na wamekoma na hawatakaa warudie tena! Eti wanatoka watu milioni 10? Yaani milioni 10 kivipi? Yaani milioni kumi kwenda wapi? haya sasa mmedanganya wafadhili wenu kuwa watu milioni 10 watatoka mkaishia kutoka watu SIFURI π
WATANZANIA wameonyesha uzalendo wa hali ya juu sana jana na wameonyesha kuipenda nchi yao kwa dhati na kwa vyovyote vile wamekataa kutumika kuharibu nchi yao na wamekataa propaganda za wanaharakati uchwara!
Watanzania wana kazi za kufanya kwa ajili ya maisha yao na huu ujinga wa Maria, Mange na genge lao eti kuna maandamano yasiyo na kikomo ni upumbavu na kama wanayataka kweli waje wayaongoze hayo maandamano hapa Tanzania tuone...
Hakuna amani ya mtutu wa bunduki. Ombeni tu tusipate silaha, kwa huu uhuni wenu mtacheka kichina.Wanaukumbi.

Unaonekana ni mtu mzima ila umetawaliwa na chuki ya udini.
Yaani wewe pamoja kuwa member wa muda mrefu unakubali kuandikiwa script na Bumunda Kihongosi? Machawa wote yaani title hiyo hiyo!Wanaukumbi.

Lini utapunguza chuki kwa Muslims?labda wamehofia kukatwa vichwa na muslims, its not over till its over ...
Huwezi kukwepa chuki yako ya udini uliyoionyesha hapa,ni sawa na kujaribu kukikimbia kimvuli chako wewe mwenyewe,how man, labda kama umepitwa mambo ni mengi pia lkn mashehe iko hata hapa jf unaweza kuitafuta walisema watu wakiandamana watawakata vichwa, iweje tena mimi ndiyo niwe na chuki ya udini na siyo mashehe walioapa kukata vichwa Christians na hawakukamatwa wala kuhojiwa na polisi, pia ridhwani kikwete ambaye ni waziri tena alitoka live akasema ikulu yetu ilikua madrasa ya muslims alichomaanisha anajua yeye mwenyewe lkn timing ya hiyo statement kutoka kwa waziri wa nchi inaacha maswali mengi lkn bado unaniita mimi udini? hiyo siyo fair man ...
Hayo maandamano ambayo unasema hayakuruhusiwa yaliombwa na nani? Ni kina nani walikuwa wanayaratibu?Anachojaribu kusema mleta mada kingekuwa na maana endapo watawala wangeruhusu maandamano na kuvitaka vyombo vya ulinzi viwape ulinzi waandamaji halafu waandamanaji WASIJITOKEZE kuandamana.