Unajitomba mwenyewe halafu unaanza kujisifu una penzi tamu we kweli khuma,mmejaza wanajeshi mitaa yote na silaha nzito na watu mmewaambia wasitoke ndani halafu matoka kujisifu mikundu yenu kabisaAnachojaribu kusema mleta mada kingekuwa na maana endapo watawala wangeruhusu maandamano na kuvitaka vyombo vya ulinzi viwape ulinzi waandamaji halafu waandamanaji WASIJITOKEZE kuandamana.
Tofauti na hapo, unachosema wewe ni sawa na mimi nikukamate, nikuchukue simu yako kisha nikufungie kwenye chumba chako halafu nije hapa Jamiiforums niseme kwamba, Ritz amegomea kabisa kufanya propaganda za kutetea watawala na mambo yao yote.