Watanzania wamekataa vurugu, Wamechagua amani

Tuwapongeze watanzania kwa ujumla, vyombo vya dola chini ya Amiri jeshi mkuu Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kusimama imara katika kulinda taifa letu dhidi ya maadui wanaojifanya hawafahamiki.

Wakati umefika sasa tuwaumbue wale wote wanaojificha kwenye kivuli cha Gen Z. Tanzania haina Gen Z , upumbavu huu wameukopi nchi jirani na hatujui maana yake wala faida yake.

Chama chochote cha siasa kilicho nyu a ya mkakati huu kinahusika moja kwa moja na ;

1.Mauaji ya raia wasio na hatia, polisi waliokuwa kazini wakitekeleza majukumu ya kikatiba, wizi wa silaha na sare za polisi , kuchoma vituo vya polisi.

2. Mashambulizi ya kigaidi yaliyopelekea kulipuliwa kwa vituo vya mabasi, mabasi na malori ya usafirishaji, magari ya watu binafsi , magari ya serikali, ofisi za serikali, vituo vya mafuta na miundombinu mbalimbali ya serikali.

3. Mtandao huu tuna uhakika unahusika moja kwa moja katika kuratibu na kuchochea chuki na mfarakano baina ya Tanzania na mataifa ya nje hususan, umoja wa ulaya, umoja wa mataifa na nchi za Afrika hususan majirani zetu Kenya. Lakini pia mfarakano kati ya serikali na baadhi ya taasisi za dini.

Ni wazi kuwa watanzania hawapendezwi na hali ya vurugu na kilichofanywa na mtandao huo, kwani hawajazoea na wala si utamaduni wetu kukosoa mambo kwa utaratibu huu.

Kwa mtiririko huu njia pekee ya kuzuia haya tunayoyaona sasa ni kushughulika kwa kina bila huruma na wale wote walionyuma ya Gen Z , na chama kilicho nyuma ya pazia la Gen Z.

Aidha tunapongeza nia njema ya Mhe Rais ya kutaka maridhiano, lakini huenda genge la walio nyuma ya kivuli cha Gen Z wasiwe na utayari huo kwani wengi wameonyesha kutumiwa na watu ama taasisi za nje kwa maslahi yao.
 
Watanzania kwa asili si watu wa kupenda vurugu mjuba. Hawapendi machafuko na vita, ukiona wanaanza kupenda uchuro huo ujue kuna mambo sehemu hayaendi vema katika nchi yao. Ndio maana hata wewe Ritz ukijaga na propaganda zako za kidini na kimadhehebu huwa unapuuzwa. Leo hii unaona watanzania wanapenda amani wakati we mwenyewe ni mdini wa kutupwa, huwa una itikadi kali za kidini, dini yako yako ya kikobazi. Mambo ya dini nyakati hizi si utaonekana ni mwehu?. Hizo siasa za kidini mkahubirianeni ndani ya majengo yenu ya kikobazi, huku nje mtapuuzwa na watanzania hawataki ushenzi huo, wanataka haki, amani na uhuru katika maisha yao ya kila siku kunako nyanja zote za maisha
 
Uzuri wa JF kumbukumbu za member zipo weka haya maandishi yangu ukiweka najua JF na usipoweka nakuweka kwenye group la Mashoga wa JF.

unaona sasa, hata respect hauna, na hii ni typical ya …
 
Kilichotoklea jana na kufeli kwa maandamano ya vurugu ni kielelezo kuwa tarehe 29 Oktoba watu walilipwa na wengi waliokuwa wanachoma moto miundombinu na mali za nchi hii hawakuwa watanzania na walikuwa ni maaluki waliokodoshwa na kulipwa kuja kufanya kazi waliyoifanya siku ile...
 
PIA HAWAKUJUA UTAMU WA RISASI ZA KICHWA, waliposalimiwa sasahivi wanajua kutii sheria bila shuruti
 
Wewe unaandamana ukiwa wapi? Toka barabarani uandamane uone kitu utafanywa siyo kubwekabweka tu mitandaoni na kushangilia watoto wa watu wakifa
Yaani comment zenu ni zile zile toka barabarani ,nenda kaandamane yaani jitu zima linaandikiwa script za Bumunda Kihongosi? Inasikitisha sana.
 
Mbona kama mmeumia sana? Yaani mlitakaje? Rais aje aombe msamaha? Aje kuwabembeleza?

Yaani mchochee vurugu na kuchoma mali za watu halafu mtegemee mbembelezwe? Nyie ni magaidi na perpetrators wa machafuko uliyoita maandamano

Mmepewa salamu kuwa kama mnaweza andamaneni tu hiyo siku ya Krismasi halafu muone!..
Tofauti yako na wale masheikh waliotoa matamko ni mdogo sana,infact haipo!
 
Mnaji
Wanaukumbi.

WATANZANIA WAMEKATAA VURUGU.. WATANZANIA WAMEKATAA MAANDAMANO..WATANZANIA WAMECHAGUA AMANI.... 📌

Tulipokuwa tunasema watu walikodishwa kufanya vurugu na uasi tarehe 29 Oktoba 2025 wengi walikuwa hawataki kuelewa na walikuwa na mashaka na kauli zile. Tuliposema wamekodiwa mamluki kutoka Kenya na wanaharakati kutoka Kenya kufanya haya mambo wengi wenu mlikuwa hamtaki kusikiliza na kuelewa.

Kilichotoklea jana na kufeli kwa maandamano ya vurugu ni kielelezo kuwa tarehe 29 Oktoba watu walilipwa na wengi waliokuwa wanachoma moto miundombinu na mali za nchi hii hawakuwa watanzania na walikuwa ni maaluki waliokodoshwa na kulipwa kuja kufanya kazi waliyoifanya siku ile...

Haya sasa yale maandamano yasiyo na kikomo ya wanaharakati yako wapi? Jana siku ya Uhuru kwa maana ya 9 Disemba imepota kwa utulivu wa hali ya juu sana na watanzania walitii amri ya serikali ya kusalia nyumbani na kuacha vyombo vya dola vishughulike na wahalifu wanaojiita waandamanaji.

Nimechekeshwa sana na kauli ya wanahaharakati baada ya kufeli kwa maandamano yao ya jana wanasema eti polisi waliweka road blocks! Sasa walitaka waweke nini? Masinia ya pilau? Au masinia ya ugali na samaki ili wakale? Kichekesho kikubwa zaidi ni pale wanaposema eeeh tumesimamisha nchi na shughuli zote. Kwani jana kulikuwa na shughuli gani ? Si ilikuwa ni siku ya mapumziko au?

kwa kifupi ni kuwa maandamano yale yamefeli vibaya sana na hakuna mtanzania aliye tayari kuona maandamano yasiyo na kikomo yasiyo na maana wala tija tena yanachochewa na watu wamejificha huko mitandaoni !

Kama kuna fundisho gumu sana wanaharakati wamelipata basi ni jana na wamekoma na hawatakaa warudie tena! Eti wanatoka watu milioni 10? Yaani milioni 10 kivipi? Yaani milioni kumi kwenda wapi? haya sasa mmedanganya wafadhili wenu kuwa watu milioni 10 watatoka mkaishia kutoka watu SIFURI 😂

WATANZANIA wameonyesha uzalendo wa hali ya juu sana jana na wameonyesha kuipenda nchi yao kwa dhati na kwa vyovyote vile wamekataa kutumika kuharibu nchi yao na wamekataa propaganda za wanaharakati uchwara!

Watanzania wana kazi za kufanya kwa ajili ya maisha yao na huu ujinga wa Maria, Mange na genge lao eti kuna maandamano yasiyo na kikomo ni upumbavu na kama wanayataka kweli waje wayaongoze hayo maandamano hapa Tanzania tuone...
Mnajidanganya sana,ngoja tuandamane siku ya msiba
 
Nafikiri hili swali lako ungelielekeza kwa mleta mada angekuwa katika nafasi nzuri ya kukujibu. Atakueleza hayo maandamano ambayo anasema watanzania wameyakataa yaliombwa wapi.​
Hauna jibu ndiyo maana umeshindwa kujibu wewe ni fuata mkumbo umeshikiwa akili na wanaharakati.
 
Mnaji

Mnajidanganya sana,ngoja tuandamane siku ya msiba
Haya sasa yale maandamano yasiyo na kikomo ya wanaharakati yako wapi? Jana siku ya Uhuru kwa maana ya 9 Disemba imepota kwa utulivu wa hali ya juu sana na watanzania walitii amri ya serikali ya kusalia nyumbani na kuacha vyombo vya dola vishughulike na wahalifu wanaojiita waandamanaji.
 
Haya sasa yale maandamano yasiyo na kikomo ya wanaharakati yako wapi? Jana siku ya Uhuru kwa maana ya 9 Disemba imepota kwa utulivu wa hali ya juu sana na watanzania walitii amri ya serikali ya kusalia nyumbani na kuacha vyombo vya dola vishughulike na wahalifu wanaojiita waandamanaji.
Ndiyo maana tunasema kama wakati wa Nyerere mpaka Vibaka waliacha kuiba,Magufuri ile nyomi haiji kutokea tena,lakini kuna misiba miwili watu watakula na kunywa maana itakuwa sherehe
 
Back
Top Bottom