Hayo maandamano ambayo unasema hayakuruhusiwa yaliombwa na nani? Ni kina nani walikuwa wanayaratibu?
Wewe unaandamana ukiwa wapi? Toka barabarani uandamane uone kitu utafanywa siyo kubwekabweka tu mitandaoni na kushangilia watoto wa watu wakifaYaani wewe pamoja kuwa member wa muda mrefu unakubali kuandikiwa script na Bumunda Kihongosi? Machawa wote yaani title hiyo hiyo!
Avata yako tu unaonekana ni mateka wa TEC toka lini ukawasema Waislam vizuri.
Umechanganyikiwa wewe Mamajuzi kati ulileta mada hapa jf kwamba unata kumuua mama yake maria tena mpaka ukatoa address yake sijui masaki, so why killing her? amekukosea nini ? pure evil …
Mbona kama mmeumia sana? Yaani mlitakaje? Rais aje aombe msamaha? Aje kuwabembeleza?Acheni kuteka na kuua watu 📌
Tendeni haki 📌
Wasikilizeni wananchi 📌
Punguzeni ufisadi 📌
Ruhusuni katiba mpya 📌
Inueni uchumi wa watu wenu 📌
Ruhusuni tume huru ya uchaguzi 📌
Shughulikeni na ajira kwa vijana 📌
Punguzeni nepotism 📌
Acheni kuiba kura 📌
Acheni kunyanyasa wapinzani 📌
Ruhusuni watu waseme 📌
Kutoyazingatia haya machache kutazidi kuchochea moto mioyoni mwa watu. Na nchi haitakuwa salama. Kunaweza kuwa na utulivu lakini kusiwe na amani. Ni kama kuwa na bomu chini ya kitanda chako!
Kwa sasa mnaweza kufurahi na kupongezana kuwa mmefanikiwa kuzuia maandamano tena kwa gharama kubwa ya ku-mobilize jeshi utafikiri nchi imo vitani lakini wananchi mnaowaongoza wana hasira na visasi. Na huwezi kutawala watu ambao hawakukuchagua na hawakutaki. Wengi walishajaribu wakashindwa na hawakuwa na mwisho mwema.
Samia atajaribu kutawala kwa kutumia mitutu ya bunduki, kuteka na kuua watu lakini hataweza na, kama historia ni mwalimu sahihi, hatakuwa na mwisho mzuri. Na ataishia katika pipa la takataka la historia kama kiongozi katili, muuaji, fisadi na asiyejali.
Anajua hakuchaguliwa na wananchi. Anajua hakupata kura milioni 32. Anajua hakushinda kwa 98%. Anajua uchaguzi ulivurugika. Anajua alijiapisha kimagumashi. Anajua siyo rais halali. Anajua anaongoza serikali haramu. Basi angalau ajaribu kutenda haki ili ajikongoje na hii miaka mitano yake ambayo itakuwa mirefu na ya mateso sana kwake hasa akiendelea na huu udikteta wake.
Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu hii nzuri yenye kila kitu lakini inaharibiwa na wanasiasa wasio na maono, walafi, wauaji, mafisadi na wasiojali! 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Umechanganyikiwa wewe Mama
maria mimi wa nini?
Baada ya maandamano ya TEC kubuma unaropoka hovyo tu.
Vipi huko TEC wanatoa tamko lini tena?
Em leta official statement ya Papa kukubali kuwabariki Mashoga?Huwezi kukwepa chuki yako ya udini uliyoionyesha hapa,ni sawa na kujaribu kukikimbia kimvuli chako wewe mwenyewe,
Unaposema muslims hujui kua una maanisha waislamu wote? hao mashehe ndio wanawakilisha waislamu wote? kwenye hao waandamanaji hakuna waislamu?
Papa aliporuhusu mashoga kubarikiwa,wakristo wote walimuunga mkono? je tamko la Papa lilitosha kuwahukumu wakristo wote?
Unasema tamko la Ridhwani alicho maanisha anajua mwenyewe ila hapo hapo unamuhukumu kwa tamko lake hilo huku ukidai kua alichomaanisha anakujua yeye mwenyewe,kwa tafsiri nyingine,wewe hujui alichokimaanisha,chuki ya udini inakusumbua na ndio maana unaumia kwa kauli ya Ridhwani.
Watapewa vipi ulinzi wakati walishindwa hata kupeleka barua ya kuomba ulinzi kwa viongozi wa Polisi?.Anachojaribu kusema mleta mada kingekuwa na maana endapo watawala wangeruhusu maandamano na kuvitaka vyombo vya ulinzi viwape ulinzi waandamaji halafu waandamanaji WASIJITOKEZE kuandamana.
Tofauti na hapo, unachosema wewe ni sawa na mimi nikukamate, nikuchukue simu yako kisha nikufungie kwenye chumba chako halafu nije hapa Jamiiforums niseme kwamba, Ritz amegomea kabisa kufanya propaganda za kutetea watawala na mambo yao yote.
Uzuri wa JF kumbukumbu za member zipo weka haya maandishi yangu ukiweka najua JF na usipoweka nakuweka kwenye group la Mashoga wa JF.tafuta mada yako hapa labda kama imefutwa, uliandika hivyo sasa sijui ni hamaki ilikuwa au ulimaanisha lkn uliandika kwamba mtamfanyizia mama yake na ukaweka hadi anapoishi, sasa nikashindwa kuelewa amekukosea nini huyo mama? …
Vijana jana wamekataa kutumiwa na wanaharakati kwa faida zao binafsi. Wameonyesha kuipenda nchi pekee waliyonayo.Jana ilikuwa ni ushuhuda wa ukomavu. Vijana walikataa kauli za kejeli na kuchagua utulivu badala ya vurugu, wakithibitisha kuwa hawatachukua nafasi ya zana za kisiasa zisizo na faida kwa taifa