Naona akili imekataa kukubali😅Em leta official statement ya Papa kukubali kuwabariki Mashoga?
Uzuri wa JF kumbukumbu za member zipo weka haya maandishi yangu ukiweka najua JF na usipoweka nakuweka kwenye group la Mashoga wa JF.
Kilichotoklea jana na kufeli kwa maandamano ya vurugu ni kielelezo kuwa tarehe 29 Oktoba watu walilipwa na wengi waliokuwa wanachoma moto miundombinu na mali za nchi hii hawakuwa watanzania na walikuwa ni maaluki waliokodoshwa na kulipwa kuja kufanya kazi waliyoifanya siku ile...Watanzania kwa asili si watu wa kupenda vurugu mjuba. Hawapendi machafuko na vita, ukiona wanaanza kupenda uchuro huo ujue kuna mambo sehemu hayaendi vema katika nchi yao. Ndio maana hata wewe Ritz ukijaga na propaganda zako za kidini na kimadhehebu huwa unapuuzwa. Leo hii unaona watanzania wanapenda amani wakati we mwenyewe ni mdini wa kutupwa, huwa una itikadi kali za kidini, dini yako yako ya kikobazi. Mambo ya dini nyakati hizi si utaonekana ni mwehu?. Hizo siasa za kidini mkahubirianeni ndani ya majengo yenu ya kikobazi, huku nje mtapuuzwa na watanzania hawataki ushenzi huo, wanataka haki, amani na uhuru katika maisha yao ya kila siku kunako nyanja zote za maisha
haitokei TanzaniaHakuna amani ya mtutu wa bunduki. Ombeni tu tusipate silaha, kwa huu uhuni wenu mtacheka kichina.
PIA HAWAKUJUA UTAMU WA RISASI ZA KICHWA, waliposalimiwa sasahivi wanajua kutii sheria bila shurutiKilichotoklea jana na kufeli kwa maandamano ya vurugu ni kielelezo kuwa tarehe 29 Oktoba watu walilipwa na wengi waliokuwa wanachoma moto miundombinu na mali za nchi hii hawakuwa watanzania na walikuwa ni maaluki waliokodoshwa na kulipwa kuja kufanya kazi waliyoifanya siku ile...
Yaani comment zenu ni zile zile toka barabarani ,nenda kaandamane yaani jitu zima linaandikiwa script za Bumunda Kihongosi? Inasikitisha sana.Wewe unaandamana ukiwa wapi? Toka barabarani uandamane uone kitu utafanywa siyo kubwekabweka tu mitandaoni na kushangilia watoto wa watu wakifa
Tofauti yako na wale masheikh waliotoa matamko ni mdogo sana,infact haipo!Mbona kama mmeumia sana? Yaani mlitakaje? Rais aje aombe msamaha? Aje kuwabembeleza?
Yaani mchochee vurugu na kuchoma mali za watu halafu mtegemee mbembelezwe? Nyie ni magaidi na perpetrators wa machafuko uliyoita maandamano
Mmepewa salamu kuwa kama mnaweza andamaneni tu hiyo siku ya Krismasi halafu muone!..
Mnajidanganya sana,ngoja tuandamane siku ya msibaWanaukumbi.
WATANZANIA WAMEKATAA VURUGU.. WATANZANIA WAMEKATAA MAANDAMANO..WATANZANIA WAMECHAGUA AMANI.... 📌
Tulipokuwa tunasema watu walikodishwa kufanya vurugu na uasi tarehe 29 Oktoba 2025 wengi walikuwa hawataki kuelewa na walikuwa na mashaka na kauli zile. Tuliposema wamekodiwa mamluki kutoka Kenya na wanaharakati kutoka Kenya kufanya haya mambo wengi wenu mlikuwa hamtaki kusikiliza na kuelewa.
Kilichotoklea jana na kufeli kwa maandamano ya vurugu ni kielelezo kuwa tarehe 29 Oktoba watu walilipwa na wengi waliokuwa wanachoma moto miundombinu na mali za nchi hii hawakuwa watanzania na walikuwa ni maaluki waliokodoshwa na kulipwa kuja kufanya kazi waliyoifanya siku ile...
Haya sasa yale maandamano yasiyo na kikomo ya wanaharakati yako wapi? Jana siku ya Uhuru kwa maana ya 9 Disemba imepota kwa utulivu wa hali ya juu sana na watanzania walitii amri ya serikali ya kusalia nyumbani na kuacha vyombo vya dola vishughulike na wahalifu wanaojiita waandamanaji.
Nimechekeshwa sana na kauli ya wanahaharakati baada ya kufeli kwa maandamano yao ya jana wanasema eti polisi waliweka road blocks! Sasa walitaka waweke nini? Masinia ya pilau? Au masinia ya ugali na samaki ili wakale? Kichekesho kikubwa zaidi ni pale wanaposema eeeh tumesimamisha nchi na shughuli zote. Kwani jana kulikuwa na shughuli gani ? Si ilikuwa ni siku ya mapumziko au?
kwa kifupi ni kuwa maandamano yale yamefeli vibaya sana na hakuna mtanzania aliye tayari kuona maandamano yasiyo na kikomo yasiyo na maana wala tija tena yanachochewa na watu wamejificha huko mitandaoni !
Kama kuna fundisho gumu sana wanaharakati wamelipata basi ni jana na wamekoma na hawatakaa warudie tena! Eti wanatoka watu milioni 10? Yaani milioni 10 kivipi? Yaani milioni kumi kwenda wapi? haya sasa mmedanganya wafadhili wenu kuwa watu milioni 10 watatoka mkaishia kutoka watu SIFURI 😂
WATANZANIA wameonyesha uzalendo wa hali ya juu sana jana na wameonyesha kuipenda nchi yao kwa dhati na kwa vyovyote vile wamekataa kutumika kuharibu nchi yao na wamekataa propaganda za wanaharakati uchwara!
Watanzania wana kazi za kufanya kwa ajili ya maisha yao na huu ujinga wa Maria, Mange na genge lao eti kuna maandamano yasiyo na kikomo ni upumbavu na kama wanayataka kweli waje wayaongoze hayo maandamano hapa Tanzania tuone...
Hauna jibu ndiyo maana umeshindwa kujibu wewe ni fuata mkumbo umeshikiwa akili na wanaharakati.Nafikiri hili swali lako ungelielekeza kwa mleta mada angekuwa katika nafasi nzuri ya kukujibu. Atakueleza hayo maandamano ambayo anasema watanzania wameyakataa yaliombwa wapi.
Haya sasa yale maandamano yasiyo na kikomo ya wanaharakati yako wapi? Jana siku ya Uhuru kwa maana ya 9 Disemba imepota kwa utulivu wa hali ya juu sana na watanzania walitii amri ya serikali ya kusalia nyumbani na kuacha vyombo vya dola vishughulike na wahalifu wanaojiita waandamanaji.Mnaji
Mnajidanganya sana,ngoja tuandamane siku ya msiba
We si huna akili tunakujua!Naunga mkono hoja
Ndiyo maana tunasema kama wakati wa Nyerere mpaka Vibaka waliacha kuiba,Magufuri ile nyomi haiji kutokea tena,lakini kuna misiba miwili watu watakula na kunywa maana itakuwa shereheHaya sasa yale maandamano yasiyo na kikomo ya wanaharakati yako wapi? Jana siku ya Uhuru kwa maana ya 9 Disemba imepota kwa utulivu wa hali ya juu sana na watanzania walitii amri ya serikali ya kusalia nyumbani na kuacha vyombo vya dola vishughulike na wahalifu wanaojiita waandamanaji.