Unajitomba mwenyewe halafu unaanza kujisifu una penzi tamu we kweli khuma,mmejaza wanajeshi mitaa yote na silaha nzito na watu mmewaambia wasitoke ndani halafu matoka kujisifu mikundu yenu kabisaAnachojaribu kusema mleta mada kingekuwa na maana endapo watawala wangeruhusu maandamano na kuvitaka vyombo vya ulinzi viwape ulinzi waandamaji halafu waandamanaji WASIJITOKEZE kuandamana.
Tofauti na hapo, unachosema wewe ni sawa na mimi nikukamate, nikuchukue simu yako kisha nikufungie kwenye chumba chako halafu nije hapa Jamiiforums niseme kwamba, Ritz amegomea kabisa kufanya propaganda za kutetea watawala na mambo yao yote.
Wewe ndiye kichwa maji.We si huna akili tunakujua!
Wanausalama ndio waliandamana kwa Amani na ujumbe umefika salama!SI UNNGEJITOKEZA WEWE KIMA
Hakuna amani ya mtutu wa bunduki. Ombeni tu tusipate silaha, kwa huu uhuni wenu mtacheka kichina.
Tuliaminishwa na nani?Silaha si zipo TEC.
Vipi tena simliaminishwa kuwa wanajeshi wapo upande wenu😅
kwenye mizozo kama hii ya kisiasa wahalifu na hata magaidi hujiingiza na kuleta uharibifu, sasa hao raia wa nje waliingiaje huko mipakani?Kilichotoklea jana na kufeli kwa maandamano ya vurugu ni kielelezo kuwa tarehe 29 Oktoba watu walilipwa na wengi waliokuwa wanachoma moto miundombinu na mali za nchi hii hawakuwa watanzania na walikuwa ni maaluki waliokodoshwa na kulipwa kuja kufanya kazi waliyoifanya siku ile...
Tunaujua ukweli, usidhani sisi ni watu wa kusubiri kuambiwa. Hao wanaharakati mnaodhani ndio wanawaambia watu, wao wameamua kuongea lugha ya wananchi, kwa akili zenu fupi mnadhani wao ndio tunawasikiliza.Na wanaharakati wenu.