Uko sahihi sana, hebu tuambie ni wapi umesikia ccm wakiongelea kile kivuko kilicholipiwa 7b kwa matengenezo kilipo na Nini kinaendelea? Ukiweza kuniambia hilo nitajua ccm inajisimamia.Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.
Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!
Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Bila Mbowe hakuna upinzani TanzaniaInashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.
Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!
Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Ungeweka maelezo yenye vielelezo tungelikuunga mkono, lakini kueleza mambo hayo bila kuambatanisha na vielelezo vya maana yanaonekana maelezo yote ni majungu matupu mura.Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.
Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!
Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Ingekuwa chama ni cha Mbowe basi kingeitwa kikundi cha familia na kisingesajiliwa kama chama cha siasa.Karibu kule X upate faraday wewe kilaza.Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.
Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!
Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Upinzani ufanyeje?. Tatizo mnadhani upinzani ni Lissu na Mbowe. Hapo ndipo mnapokosea.Huko Chadema iko wazi kuna shida ya kiuongozi. Nchi iko hapa ilipo Kwa kukosa elimu Bora,kukosa upinzani WA kueleweka na umasikini.
Tangu lini mwana CCM akaiongelea vizuri CHADEMAInashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.
Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!
Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Nakubaliana na wewe mkuu hata hivyo chama cha chadema hakina hela yaani Lissu anachangiwa hela ili akomboe gari lakeInashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.
Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!
Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Mbona mbio kama uharo alosema upinzani ni mbowe na Lissu naniUpinzani ufanyeje?. Tatizo mnadhani upinzani ni Lissu na Mbowe. Hapo ndipo mnapokosea.
Hiyo ruzuku wanayopewa CHADEMA ni ndogo sana ukilinganisha na pesa wanazopiga Mabwanyenye wa CCM. Zungumzeni kwanza kuhusu ripoti ya CAG. Mnataka CHADEMA wawasemee wakati CAG ameshawasanua na hamna hatua mnayochuku mnaanza kuwalaumu CHADEMAInashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.