Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema ni genge na masela kama wale wa Marekani.Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.
Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!
Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense