Watanzania wamekosa chama cha upinzani. Chama tawala kinajisimamia na kujikagua. Mbowe na CHADEMA yake wanawaza pesa tu

Watanzania wamekosa chama cha upinzani. Chama tawala kinajisimamia na kujikagua. Mbowe na CHADEMA yake wanawaza pesa tu

Chanzo Cha matatizo yote na umaskini wa Tanzania ni Ccm sasa ni matatizo gani hayo ambayo ccm inayaongelea 🤔🤔 hawawezi kufanya hivyo hata kwa bahati mbaya itakua ni sawa na kujitia vidole machoni
 
Inashangaza sana na inatia huruma. Maana Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe inapokea ruzuku ambazo ni kodi za wananchi.

Lakini kero na matatizo ya Watanganyika yanazungumzwa na chama tawala!

Chadema ambayo ni mali binafsi ya Mbowe wanawaza ruzuku na kulamba asali huku wakitengeneza mazingira ya kupata ubunge 2025. This is nonsense
Chadema ni genge na masela kama wale wa Marekani.
 
Back
Top Bottom