Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Na siku hizi majiko ya umeme simple na ambayo matumizi yake ya umeme sio makubwa yako mengi tu. Bei iko reasonable
Watanzania wanathamini sana flat screens sijui wamerogwa
Vijana mayai wana shida sana😂Pesa zetu, upange cha kuzinunulia wewe!!
Tena na unatutukana kabisa. Mnunulie mama yako na ndugu zako wqnatosha.
Kwa mfano tuongelee leo mtaani kwako ni mara ngapi umeme umekatika kwa siku ya leo?!Hayaaminiki unasonga ugari mara tanesko wamefanya yao chap
"Majiko ya umeme masharti sana kama watu wenye mimba"
Masharti yake machacheTuna vifaa vingapi vya umeme vyenye masharti? Au kwa sababu tu huwa tunatumia kienyeji
Kwahyo hii hela yangu nlipokua naenda kununua inch 65" Kesho niache, duh! Kwel uchawi upo Bora nisingeingia JF Leo 😆😆Na siku hizi majiko ya umeme simple na ambayo matumizi yake ya umeme sio makubwa yako mengi tu. Bei iko reasonable
Watanzania wanathamini sana flat screens sijui wamerogwa