Watanzania wameyakataa kabisa majiko ya umeme, hivi ni ujinga au ushamba?

Ninachojua wanaogopa kulipuka

Mzee alinunua jiko la umeme sikuwahi kuona likitumika

Ni kwamba bi mkubwa aliita watoto wake jikoni akapiga mkwara wa kwenda😁😁
Hoja kubwa ipo hapa. Watanzania wengi wanaogopa kupigwa shoti. Ni ile dhana iliyojengeka miaka ya nyuma kuhusu kupigwa shoti kwenyr jiko la umeme. Watu walikuwa wanaogopa hadi pasi ya umeme, kidogo hii ndiyo wameizoea
 
Kiuhalisia kulishajengeka mentality ya kwamba jiko la umeme linakula umeme,,na tangu mwanzo hatukuwa na utamaduni kuyatumia..ilijengeka imani kwamba jiko la umeme ni kwa tabaka Fulani la watu.
Ila kuna raha yake kutumia jiko la umeme,tena kale kadogo kanakula umeme kidogo tu.
Kwahiyo tunatumia majiko yote inategemea tu wakati huo tunapika nini.

Umeme kupasha chakula na kupika vyakula vya haraka mfano mayai.
Gesi pia kupika ugali fasta,
Mkaa wake wali.
Kuni kupikia maharage.

Ila katika majiko yote hayo,kwa sasa mimi nalihofia sana jiko la gesi kutokana na matukio yake.
 
Kwani ukiwa unaangalia TV umeme ukakatika na Ukiwa Unapika chakula bado hakijaiva na umeme ukakatika wapi kuna maudhi makubwa? Japan walisherekea miaka 50 bila umeme kukatika lakini huku kwetu ukikaa siku nzima haujakatika unashangaa.
Ukiwa unapika. Lakini pia licha ya mapungufu ya umeme wa Tanesco muda wa umeme kuwepo ni mwingi hivyo haiwezi kuathiri kivile kwenye mapishi. Ukikata hapo unacheza na gesi au mkaa. Chakula lazima kiliwe​
 
Ni uelewa tu, tuna uelewa mdogo ndio maana tunaogopa umeme. Niliwahi kujadili hii kitu na moja ya watu wangu wa karibu nikamwambia jinsi gani mkaa unatumalizia pesa bila kujua.

Kuna siku niliambiwa ninunue mkaa kwa ajili ya kuchemsha maji ya kunywa, nikawaambia nawanunulia umeme wa 5000 wachemshe kwenye jagi la umeme wajaze ndoo then waniambie units ngapi zimetumika. Toka siku hiyo matumizi ya mkaa yamepungua sana kwangu. Umeme 2units ulichemsha maji, wakati mkaa wa 3000 ungeisha, simple arithmetic.
 
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."

Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?

Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?

Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?

Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.

Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
​
Mjinga huyu
 
Mkuu tunashukuru sana kwa huu ushuhuda wa uliyojionea. Maisha ni hesabu tu ​
 
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."

Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?

Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?

Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?

Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.

Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
​
Mjinga tena labda tukuite bwegelezi ni wewe.Usiwapangie watanzania jinsi ya kuishi. Kama ni mdau wa kuuza majiko ya umeme imekula kwako.Nasikia kuna shirika linatoa unit za bure za umeme kwa wafanyakazi wake.Kaongee nao mfanye biashara .Waombe radhi watanzania . Usiwatukane. Sio ajabu hata wazazi wako kijijini hawatumii jiko la umeme pamoja na kuwa na umeme wa REA.
 
Ndiyo fahari kwao
Umesahau kuna kipindi mtu alikuwa radhi asile chakula kwasababu ya simu ya whatsapp🤣
Hawajui kipi kipewe kipaumbele

Kuna mmoja humu jf aliwahi kusema utakuta mbongo kapark chuma ya 30mln uani na nyumba ya ghorofa lakini umeme ukikatika anatumia mshumaa au tochi ya simu

Unajiuliza huyu mtu kweli solar au jenereta kweli vinamshinda kununua

Unapata jibu si kweli ni kutojua kipi akipe kipaumbele maishani mwake
 
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."

Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?

Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?

Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?

Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.

Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
​
Majiko ya umeme yanapiga sana shot hasa ukiwa unapika, unashika shika MAJI
 
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."

Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?

Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?

Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?

Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.

Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
​
Dudukwee umetumwa wewe na tenesko
Yelewiii parakwiiii Haya ni maajabuu
 
Back
Top Bottom