Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 1,145
- 2,937
Tuseme Jiko la umeme lina Watt 2000 japo ni kadogo kwa umbo ukikawasha ni kama umewasha TV kumi za inchi 65 kwa pamoja. Tuchukulie hauna matumizi mengi Unatumia kwa masaa mawili kwa siku ni unit 4, kwa mwezi unit 120 ambao ni umeme wa kama 50,000!Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Oyaa schana na inch 65" jali mazingira ya msosi kwanza π€£Kwahyo hii hela yangu nlipokua naenda kununua inch 65" Kesho niache, duh! Kwel uchawi upo Bora nisingeingia JF Leo ππ
Kwani mambo mengine yanayotegemea umeme tunayafanya kwa umeme gani?Kwa umeme gani
Ni sahihiNadhani tatizo ni
1.elimu
2.elimu
3.elimu
4. Lack of exposure
5.poor government policy
TV hata iwe ya milion lkn matumiz yak ya umeme ni madogo sana ukilinganisha na hilo jiko la umeme la plate mbili. Akili kumkichwa wwGas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
π―Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Kwa umeme huu wa tanesco? Tutakula chakula kibichi
Jiko la umeme linakula umeme kiasi gani ukiamua kuchemsha bamia tu.?
Mana huu si wakati wa kutumia mkaa wakati vipato vyetu vimekuwa.
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Utamsikia Mtanzania anakwambia jiko la umeme linatumia umeme mwingi, ok well mbona ndani una vyombo vingi sana vya umeme na haulalamiki?
Kwani jiko la umeme unalitumia siku nzima?
Mtu ana flat screen ya milioni lakini jiko la umeme hata la plate 2 linamshinda.
Kuna ujinga mwingi sana kwenye jamii ya Watanzania, pesa ya kufanya au kununua vitu vya kijinga wanazo ila kuongeza units za umeme awe anatumia jiko la umeme hana.
Ndiyo fahari kwaoWatanzania wanathamini sana flat screens sijui wamerogwa
π€£π€£π€£π€£π€£sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku."
Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme?
Siku Unit 1 ikiuzwa TSH 100, nitafurahi kununua.
Mbona unaponunua vifaa vingine vya umeme hausemi kwa umeme hautegemeki
Yaani kwenye jiko la umeme tu ndio mnaanza hesabu za umeme wa Tanesco hautegemeki
πππππPesa zetu, upange cha kuzinunulia wewe!!
Tena na unatutukana kabisa. Mnunulie mama yako na ndugu zako wqnatosha.
ππ€£π€£π€£Kwani ukiwa unaangalia TV umeme ukakatika na Ukiwa Unapika chakula bado hakijaiva na umeme ukakatika wapi kuna maudhi makubwa? Japan walisherekea miaka 50 bila umeme kukatika lakini huku kwetu ukikaa siku nzima haujakatika unashangaa.