yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,225
- 4,898
Wewe ndio unataka dyudyu sababu unatangatanga sana na nationalities hiyo biashara yako ya Mombasa ni huko huko huku ni jinai dadeq
Ile kichwa yenye bonde katikati ni zehro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio unataka dyudyu sababu unatangatanga sana na nationalities hiyo biashara yako ya Mombasa ni huko huko huku ni jinai dadeq
Hahahaaa...kukazwa tena? Umenifurahisha mkuuHuna hoja lofa wewe Mara nchi ya mbowe Mara gavana kama unataka kukazwa sema sio unabana bana pua
Wew ni kichaaaHivi hata kama ni mbowe kawa Rais, angeambiwa maneno hayo na mpumbavu flani kama huyo gavana kutoka nchi nyingine mngefurahia tu? Tokea lini Rais akafundishwa namna ya kuongoza nchi yake?
Kwa kweliDUH!HILO GAVANA BICHWA MAJI KABISA,CHEKI BICHWA LAKE UTAFIKIRI JEKI YA TRENI!!
Ile ni SURA ya kazi ngumu chafu pozi ya kiume wewe hiyo SURA yako ya dressing table imekusaidia kipi kwa mfano?Ile kichwa yenye bonde katikati ni zehro
Nimepita YouTube watanzania wamemwaga povu ambalo sijawahi kulishuhudia tokea nizaliwe kha kwa kweli watanzania nimewavulia kofia hilo puvu aliloshushiwa huyo gavana atajuta kumchokonoa Magufuli na Tanzania.
Kwa kifupi huyu gavana ana lugha chafu sana na anaonekana ni mvuta bangi chronic kiasi cha kukosa maadili ya kuongea na kiongozi wa nchi utadhani anaongea na hawara yake kiukweli nimewapenda watanzania wenzangu kwa huo mnyuko naomba muendelee hivyo hivyo popote wapuuzi wapuuzi kama hawa wanapotaka kuleta ufala kwenye maslahi mapana ya taifa
Ndio ujue kuwa hii serikali haina ukabila,inafuata sheria tu.wewe uwe msukuma uwe nani.ukivunja sheria puuuuu.Kwani hapo Gavana alikosea wapi?! Waulize wafugaji wa Tanzania walivyopata hasara kwa mifugo yao kuuzwa bila sababu za msingi. Tena wafugaji wengi ni wasukuma waulize
Saaaaaaaaaaaaaaaaaafii sana..... 100%Ndio ujue kuwa hii serikali haina ukabila,inafuata sheria tu.wewe uwe msukuma uwe nani.ukivunja sheria puuuuu.
we vipi kwani rais ni mungu asielekezwe jinsi ya kuongoza nchiHivi hata kama ni mbowe kawa Rais, angeambiwa maneno hayo na mpumbavu flani kama huyo gavana kutoka nchi nyingine mngefurahia tu? Tokea lini Rais akafundishwa namna ya kuongoza nchi yake?
Gavana yupo sahihi.
Kwanza Mimi ni Dume moja rijali. Pili hizi pushups zinatusaidia kuwa physically fit.Je hizo pushups wewe na mumeo na watoto wako zinawasaidia nini
Ndio itakuongoza hadi 2025. Hama nchi au kill yourselfIle kichwa yenye bonde katikati ni zehro
Watanzania ni watu wa ajabu sana, hivi hata huwa tunaujua mfumo wetu wa utawala kweli? Sishangai watu kuparamia hata wasikokujua. Kwa taarifa tu, Tanzania ina Bunge, Mahakama na Serikali. Bunge ni jumuiko la watanzania wote kwa pamoja na kujipangia maswala yao ambayo kwayo huwa sheria.Kwani hapo Gavana alikosea wapi?! Waulize wafugaji wa Tanzania walivyopata hasara kwa mifugo yao kuuzwa bila sababu za msingi. Tena wafugaji wengi ni wasukuma waulize
Tena na mtu ambaye hata hakumchagua wala hafungamani naye kwa lolote lile.Hivi hata kama ni mbowe kawa Rais, angeambiwa maneno hayo na mpumbavu flani kama huyo gavana kutoka nchi nyingine mngefurahia tu? Tokea lini Rais akafundishwa namna ya kuongoza nchi yake?