Watanzania wamshukia gavana wa Kenya baada ya kumkashifu Magufuli

Watanzania wamshukia gavana wa Kenya baada ya kumkashifu Magufuli

Wewe ndio unataka dyudyu sababu unatangatanga sana na nationalities hiyo biashara yako ya Mombasa ni huko huko huku ni jinai dadeq

Ile kichwa yenye bonde katikati ni zehro
 
Hivi hata kama ni mbowe kawa Rais, angeambiwa maneno hayo na mpumbavu flani kama huyo gavana kutoka nchi nyingine mngefurahia tu? Tokea lini Rais akafundishwa namna ya kuongoza nchi yake?
Wew ni kichaaa
 
Ile kichwa yenye bonde katikati ni zehro
Ile ni SURA ya kazi ngumu chafu pozi ya kiume wewe hiyo SURA yako ya dressing table imekusaidia kipi kwa mfano?

Miss makeup una matatizo sio haba we Dada huyo mwanaume ulienae kalamba galasha
 
Nimepita YouTube watanzania wamemwaga povu ambalo sijawahi kulishuhudia tokea nizaliwe kha kwa kweli watanzania nimewavulia kofia hilo puvu aliloshushiwa huyo gavana atajuta kumchokonoa Magufuli na Tanzania.

Kwa kifupi huyu gavana ana lugha chafu sana na anaonekana ni mvuta bangi chronic kiasi cha kukosa maadili ya kuongea na kiongozi wa nchi utadhani anaongea na hawara yake kiukweli nimewapenda watanzania wenzangu kwa huo mnyuko naomba muendelee hivyo hivyo popote wapuuzi wapuuzi kama hawa wanapotaka kuleta ufala kwenye maslahi mapana ya taifa

Mimi atukanwe tuu wala hayanihusuu
 
Kwani hapo Gavana alikosea wapi?! Waulize wafugaji wa Tanzania walivyopata hasara kwa mifugo yao kuuzwa bila sababu za msingi. Tena wafugaji wengi ni wasukuma waulize
Ndio ujue kuwa hii serikali haina ukabila,inafuata sheria tu.wewe uwe msukuma uwe nani.ukivunja sheria puuuuu.
 
gavana mwehu tu huyu sujyi amekula maharagwe ya wapi huyuu
 
Hivi hata kama ni mbowe kawa Rais, angeambiwa maneno hayo na mpumbavu flani kama huyo gavana kutoka nchi nyingine mngefurahia tu? Tokea lini Rais akafundishwa namna ya kuongoza nchi yake?
we vipi kwani rais ni mungu asielekezwe jinsi ya kuongoza nchi
 
Mtajuana wenyewe sisi inatuhusu nini
 
Je hizo pushups wewe na mumeo na watoto wako zinawasaidia nini
Kwanza Mimi ni Dume moja rijali. Pili hizi pushups zinatusaidia kuwa physically fit.
Unadhani wake zenu wakichepuka wanaenda kukazwa na kina nani.
With folks doing physical exercises like push ups etc.
Nyumbu halijui hata faida ya pushups. Bure kabisa

Na ile ilikuwa mchezo wa Siasa, kuonyesha uma yuko physicall fit kushinda Lowasa.
 
Kwani hapo Gavana alikosea wapi?! Waulize wafugaji wa Tanzania walivyopata hasara kwa mifugo yao kuuzwa bila sababu za msingi. Tena wafugaji wengi ni wasukuma waulize
Watanzania ni watu wa ajabu sana, hivi hata huwa tunaujua mfumo wetu wa utawala kweli? Sishangai watu kuparamia hata wasikokujua. Kwa taarifa tu, Tanzania ina Bunge, Mahakama na Serikali. Bunge ni jumuiko la watanzania wote kwa pamoja na kujipangia maswala yao ambayo kwayo huwa sheria.

Sasa watanzania, kwa pamoja wamekubaliana, kwamba ni kosa kwa mifugo kuchungiwa kwenye maeneo ya hifadhi na wakaweka na hatua zipi zichukuliwe ikibainika kuvunjwa kwa makubaliano hayo, wewe unasema mifugo imeuzwa pasi na sababu za msingi,, ajabu sana.
 
Hivi hata kama ni mbowe kawa Rais, angeambiwa maneno hayo na mpumbavu flani kama huyo gavana kutoka nchi nyingine mngefurahia tu? Tokea lini Rais akafundishwa namna ya kuongoza nchi yake?
Tena na mtu ambaye hata hakumchagua wala hafungamani naye kwa lolote lile.
 
Back
Top Bottom