Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa CCM,ni lazima utawala huu uangushwe na kuwekwa kando,
Angalia Bunge, angalia mahakama angangalia jeshi la polisi vyombo hivi vimevurugwa kwa CCM kuweza kuvipenya na kuwekeza mamluki ,wananchi wanaona na kuamini kabisa hukumu za kisiasa hutokea CCM na sio matakwa ya Mahakama na majaji,tuseme Mahakama imetekwa na CCM ?
Angalia bunge hakuna majadiliano yenye tija wala yenye kutia hamu kuyasikiliza kwa mwananchi kufaidika na kinachoendeshwa pale bungeni na kujadiliwa,mbunge limetekwa na CCM?
Polisi ndio usiseme ni uwazi unao onekana kwenye mambo ya kisiasa ,hakuna mikutano,kesi za kisiasa zinaongezeka ,polisi kutumika kuzuia,kuvuruga na kukamata kwenye mikutano,polisi wametekwa na CCM ?
Hapana, anaeonekana anakwenda na kinyume na hukumu na matakwa ya CCM anaondolewa na kama haitoshi hata kufilisiwa na ikiwa haitoshi kufunguliwa kesi ndio CCM ilipovikisha vyombo vyetu,Vyombo vimepoteza uhuru wake ,vinaburutwa.
Kuna madai ya KATIBA kuna madai ya tume huru ,madai ambayo mtawala CCM hataki wala hapendi kuyasikia na hutumia au kaweza vyombo hivyo kuyaviza madai hayo.
Kufanya mikutano ya kisiasa uwepo wake upo ndani ya Katiba au sheria za vyama vya siasa ,itakiwavyo ni kuiarifu polisi tu na hili hata likifanyika polisi hawawajibiki wanazuia kwa madai hali ya usalama .
Bila ya CCM kuondolewa madarakani waTanzania wataendelea kusaga meno na kufikishwa kileleni ,Je tutakuwa kama Somalia Ethiopia ? CCM inaipeleka wapi Nchi hii?