Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,160
- 1,359
Matatizo ya kumchanganyia mtoto vyakula katika kipindi ambacho alipaswa kunyonya tu😂😂😂Watanzania tunashukuru Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati ndani ya miaka mitano tu
Tukimpa muda zaidi tunaweza kuipiku USA