Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Kumbe ni mpemba? basi tumuache,anaweza kujilipua sasa hivi huyu.
Ndio mjue who to mess with and who not to. Ncha ya mkuki haipigwi kwenzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni mpemba? basi tumuache,anaweza kujilipua sasa hivi huyu.
Kwanini uulize maswali third party wakati mhusika nipo?  Tena nipo tayari kufanya demonstation kwenye sample 'hai' free of charge?He/She?
Bwa ha hah..Watu wa bara bwana, sasa wewe ktk your right mind, umeshawahi lini kusikia mwanamke akiitwa Abdulhalim bin Mualem ?
Kwanini uulize maswali third party wakati mhusika nipo?  Tena nipo tayari kufanya demonstation kwenye sample 'hai' free of charge?
Naogopa kwa kuwa msingi ya dini yangu hayaniruhusu kutoka nje ya ndoa yangu. Mke wangu ananitosha sana.
heheeee, nimekugongea mpwa!
Mchumba,sasa nakuomba achana naye.Nakupenda na singetaka kuona ukichafuliwa au ukiwepo kwenye viwango duni bila kujijua.plzzz,achana nae.Ha hiyo iliyotapakaa kwenye mdomo kwenye avatar yako vipi? Ile kitu ilikuchefua ukatapika?
Mchumba,sasa nakuomba achana naye.Nakupenda na singetaka kuona ukichafuliwa au ukiwepo kwenye viwango duni bila kujijua.plzzz,achana nae.
wanamuziki wabongo tatizo exposure ndogo.