Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

IAfrika

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
280
Reaction score
222
most.jpg



 
I think you have undergone mad!
Ulichopost Ni mwendelezo wa upumbavu wa nyang'aus!

Go Tanzania [emoji1241] go baby!!
Kumbe wtz kwa watz pia huwa mnaitana manyang'au? [emoji1] Taarifa kwa ufupi ni kwamba sisi manyang'au huwa hatuwafagilii kama mnavotufagilia. Tupo bize na nchi ambazo tunaweza tukajifunza kitu kutoka kwao, k.m. S.A.
 
Kumbe wtz kwa watz pia huwa mnaitana manyang'au? [emoji1] Taarifa kwa ufupi ni kwamba sisi manyang'au huwa hatuwafagilii kama mnavotufagilia. Tupo bize na nchi ambazo tunaeza tukajifunza kitu kutoka kwao, k.m. S.A.
Tanzania na south nikama pua na mdomo , ni majirani sana , na watanzania weng wanaishi afrika kusini na weng wetu watz hatufuki kenya
 
Hii habari itasaidia kupunguza maumivu ya sindano na uchungu wa dawa? 💉💉💉

Poleni sana. Hiyo ni "kristapeni" mtakaa tako moja na kuweweseka sanaaaa.
 
Hakuna Afrika anayesearch au anayejali kuhusu Tanzania [emoji23][emoji23][emoji382]

Rwanda, Uganda and Somalia which is a failed state are at least on African minds.
South Sudan ni wajanja wanajiwaza wenyewe kwa wenyewe wakipewa support na Chad.
Yani hadi failed states zinafikiriwa kuliko ubongolala land.
No one cares about shithole Tanzania [emoji23]
 
Uganda, Tanzania na Somalia wanatusearch sisi ilhali sisi hatuna shughuli na wao. Hahaha
Wanatuwaza sana hawa majirani zetu, sanasana hawa wa kusini. Ndio maana huwa wanaumwa sana na wanamwaga povu la kufa mtu kila mara Kenya inapotajwa, wakati sisi hatuna muda nao. Hiyo ndio 'defination' kamili ya 'ex-girlfriend'. [emoji38] Cha ajabu ni kwamba hakuna nchi yeyote Afrika ambayo wananchi wake wanaiwaza sana Tz. Aisee, hata Burundi? 😁
 
Back
Top Bottom