chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Ilkua Lini hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio kizungu yao[emoji38][emoji38][emoji38]"No wander" ha ha ha, kizungu cha kinyan'gau.
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
ndio kizungu yao[emoji38][emoji38][emoji38]
Afadhali hiyo ambayo labda ni typo ya neno moja tu kwenye aya nzima. Kama nyie ni wataalamu wa lugha ya mabeberu mbona mmejitia hamnazo kuhusu hiki kizungumkuti cha kitz, ambacho kinafanana sana na cha Jiwe?"No wander" ha ha ha, kizungu cha kinyan'gau.
I think you have undergone mad!
Ulichopost Ni mwendelezo wa upumbavu wa nyang'aus!
Go Tanzania [emoji1241] go baby!!
hatujawahi kutilia mkazo kiingereza, ni lugha ya 3 ya mawasiliano kati ya watz.Afadhali hiyo ambayo labda ni typo ya neno moja tu kwenye aya nzima. Kama nyie ni wataalamu wa lugha ya mabeberu mbona mmejitia hamnazo kuhusu hiki kizungumkuti cha kitz, ambacho kinafanana sana na cha Jiwe?
Unamtetea nyan'gau kilaza?Afadhali hiyo ambayo labda ni typo ya neno moja tu kwenye aya nzima. Kama nyie ni wataalamu wa lugha ya mabeberu mbona mmejitia hamnazo kuhusu hiki kizungumkuti cha kitz, ambacho kinafanana sana na cha Jiwe?
Lazima tuwa google kwani ujui waujumu wa tz ni wakenya na mabeberu ambao wengi wamejificha Kenya na kuwekeza Kenya mm mwenyewe naijua Nairobi kuliko hata wakenya yaani Mtanzania kupotea Nairobi ni ujinga mtupu ndiyo maana wakenya mkipost picha za Nairobi na kuficha slum kwa kuzi crop watz tunajuaSina Covid
Kenya tunaijua nje ndani , ndiyo maana tuliwaambia kdf hikileta ujinga na tz sisi tutakuwa tunapiga Kenya kama nyumbani, Kenya ni kama Mke wetu tunamjua siri zake zoteUganda, Tanzania na Somalia wanatusearch sisi ilhali sisi hatuna shughuli na wao. Hahaha
Wezi wa madini ni serikali ya Kenya wakushirikiana na mabeberu walio wekeza Kenya ndiyo maana tunawa chunguzaww Bado unasisitiza, kubali huo ndio ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm najua unawaza nini[emoji23][emoji23]Ndio hii evidence number 1. Huyu Mtanzania tayari ameshakiri kuwa huwa anawaza kuhusu bendera yetu. Mimi sijawahi kuwaza kuhusu bendera ya Tanzania na sitawahi kupoteza muda wangu kufanya hivyo.
Mnaibiwa madini kwani nyinyi ni wajinga??Wezi wa madini ni serikali ya Kenya wakushirikiana na mabeberu walio wekeza Kenya ndiyo maana tunawa chunguza
Hivi, huwa najiuliza tu pamanganate mnaitaje kwa Kiswahili?hatujawahi kutilia mkazo kiingereza, ni lugha ya 3 ya mawasiliano kati ya watz.
tunawashangaa nyinyi nyumba ndogo ya muingereza, kwanini mnakosea kuandika lugha nambari moja ya mawasiliano nchini kwenu!!!!
pamanganate inaitwa pamanganate hivyo, sababu imebatizwa jina na aliye igundua.Hivi, huwa najiuliza tu pamanganate mnaitaje kwa Kiswahili?
Majina ya kemia na biologia sio kingereza...ni nini? Titration mnaitaje? Kemia ni utohozi wa chemistry. Kiswahili ni lugha dhaifu na maskini sana mkuu.pamanganate inaitwa pamanganate hivyo, sababu imebatizwa jina na aliye igundua.
halafu majina ya kibiologia na kikemia sio kiingereza,hata waingereza yanawapa tabu kukariri, usikariri.
angalia hii, ukielewa pamanganate ni kitu gani utaelewa ni kwanini kina formular yake. sio hilo jina ambalo linatamkwa hata na mkikuyu hovyo hovyo tu kama kakabwa na mfupa.
hapo chini ni computer ya kichina inatumika shuleni. View attachment 1536345
kiswahili ni lugha masikini sawa inaendela kukua na kutanuka pia. lakini ni symbol kuu ya nchi Tanzania.Majina ya kemia na biologia sio kingereza...ni nini? Titration mnaitaje? Kemia ni utohozi wa chemistry. Kiswahili ni lugha dhaifu na maskini sana mkuu.
Acha zako. Hamna lugha inayoitwa kisayansi. Wasayansi ni kina nani? Sayansi inatumia lugha zinazoexist kujiexpress. Lugha kama kigiriki, kiingereza nk.kiswahili ni lugha masikini sawa inaendela kukua na kutanuka pia. lakini ni symbol kuu ya nchi Tanzania.
moja ya sababu kwanini inakuwa ni rahisi kueleweka chemia ni kutoholewa kwa maneno yake kutoka lugha mama ya kisayansi.
kwa taarifa yenu tu, wakati mnahangaika kujifunza kiingereza tokea kindergarten, sisi tuna ratiba ya kufuta mtaala wa kiingereza kama somo la kufundishia masomo, ila lugha hiyo iwe somo kama mengine.
Tanzania miaka 50 ijayo inatarajiwa kuwa miongoni mwa mataifa makubwa duniani, hatuwezi kosa identity muhimu kama lugha.
huna akili mzee.Acha zako. Hamna lugha inayoitwa kisayansi. Wasayansi ni kina nani? Sayansi inatumia lugha zinazoexist kujiexpress. Lugha kama kigiriki, kiingereza nk.
Kiswahili nayo utohozi haungalikuwepo sijui ingekuwa lugha aina gani ...