Watanzania wanataka amani na maendeleo sio demokrasia

Nani kakutea kuwa msemaji wa Tanzania?
Vilio vyao ni HAKI na UWAJIBIKAJI bila hivyo machafuko yatarudi tena.

Mtu anakuongoza hujamchagua, we ulisikia wapi?
 
Libya ilikuwa nchi yenye raha, sasa hivi vijana wa Libya wanafia baharini kuikimbia nchi yao. Eti Heche akiwa majukwaani anatoa mifano ya Libya, Hitler na Sudani. Kweli tz tuwe kama Lybia na Sudani kwa maslahi ya nani?
Acha uchoko wa kuleta mifano ya kipumbavu, tuna mifano hasili ya mazingira yetu ambapo Zambia🇿🇲 na Kenya🇰🇪 zilishinda opposition parties na mpaka leo hawatamani tena kurudi kwenye upumbavu. Nyie waporipori hamjui hata dunia inavyokwenda, binadamu lazima awe huru, atendewe haki na achague freely kiongozi anayemtaka. Hata 🇲🇼 Malawi opposition party ilivyoshinda ndipo watu walipoanza kufaidi raha ya kuwa huru na wakimbizi(ie; Orton Chirwa&Vera Chirwa, Kanyama Chiume, Gwanda Chakuamba) wakarudi kwao wakaishi kwa amani ndiyo utuletee uchoko wa huko wakati mifano halisi tumepakana nayo.
 
una mavi kichwani wewe si bure , demokrasia ndio iliyo wafanya ninyi leo mkawa machawa vilaza na hoja nyepesi kama hizo zako, isinge kuwa demokrasia na haki maana yake hata hicho kiti alicho kalia huyo aliye wageuza ninyi kuwa manyani yake asingekikalia demokrasia na haki ndivyo vilimfanya naye akawa hapo , kwa hiyo sasa demokrasia na haki leo vimekuwa mbaya kwenu baada ya kuapata madaraka kidemokrasia na haki?

Usilinganishe maswala ya kifamilia na maswala ya uongozi wa nchi maana kiongozi wa nchi haongozi familia yake na ndio maana kwanza anapatikana kwa katiba ingawa sasa inavunjwa , pili anategemea akusanye pesa kwa anao waongoza ili yeye na ninyi vinyago vyake muishi, na pesa hizo zitatue matatizo ya alio waonba oibali cha kuwaongoza, hivyo ni lazima anawajibika kutekeleza matakwa ya wanao mfanya yeye na ninyi muishi kima wewe,

habari za mtoto wa kike sijui kukeketwa ni ujinga na ukichaa na umavi mkubwa kuziingiza hapa kama ndio utetezi wako, hizo ni mila za kijamii na zipo kabla hata ya uwepo wa serikali na kwa wenye mila zao wala sio unyanyasaji maana kwa mila zingine za kijamii hata wewe kukatwa govi pia nao ni unyanyasaji maana unakuletea maumivu na inaaminika unaanza kujizika kabla hujafa hivyo ni mwiko kukata sehemu yeyote ya mwili wako na kuizika kabla hujafa na hiyo ni mila na kwa jamii yao inakubalika na hawaoni shida sasa wewe unaleta mambo ya mila kwenye uongozi wa nchi? wewe kama sio mavi ninini ?na mkiitwa vilaza mjue tunamaanisha ndio kama hivi sasa utetezi wa kijinga kabisa.
 
Ndugu yangu nilimuonya asiende kuchoma vituo vya polisi na mwendokasi akanipuuza, nani wa kulaumiwa hapo? Mzazi wangu alikuwa akinipigia simu kutoka kijijini kila wakati akinitaka nisishiriki kwenye vurugu za chadema, ninamshukuru sana kwa ushauri wake, niko hai.
 
DEmokrasia ipi mimi ninaikosa hapa tz? Unadhani hata huko ulaya na marekani watu wanajisemea na kujifanyia chochote tu? Mfano, ni marufuku mtu au chombo cha habari kusema ukweli kuhusu athali za vita ya Israel-Marekani na Iraki (sensorship)
 
Ndugu yangu nilimuonya asiende kuchoma vituo vya polisi na mwendokasi akanipuuza,
Ndugu yako alichoma kituo kipi cha polisi?
nani wa kulaumiwa hapo? Mzazi wangu alikuwa akinipigia simu kutoka kijijini kila wakati akinitaka nisishiriki kwenye vurugu za chadema,
CHADEMA walianzisha vurugu wapi, tupe picha za hao unaowaita CHADEMA wakianzisha vurugu.

Kwahiyo saa hizi mmehamisha lawama sio vijana wa kutoka Kenya bali ni CHADEMA?

Mbona hamna msimamo na mnachokidai kama waanzisha vurugu.
ninamshukuru sana kwa ushauri wake, niko hai.
Kama upo hai wale waliouwawa waliuliwa na nani?
 

Democracy, markets and science share one rule: nobody gets the final word, and every claim has to survive people who want it to fail. That's also why all three feel slow and frustrating, right up until you see what happens without them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…