Watanzania wanawatumia wakenya kama kilinganishio (benchmark) cha maendeleo

Watanzania wanawatumia wakenya kama kilinganishio (benchmark) cha maendeleo

dudu jeupe umeamka hauna pesa ya chai nn ? Iv hapa Tz kuna raia ambae ana habar na nchi iliyo jaa corona ...? Siai tuna wavamia endapo mnapo tuvamia maana mna niq ya kutuharibia nchi ninyi kisa shangaz yenu corona. ...nenda kaoge ujiandae kumsaidia mkeo kuosha vyombo hapo kunyaland
Huyo ni Mtz mwenzako
 
tanzania njaa ni historia, hatuwezi lingana na nyie mapopoma mnaojisifu mnauchumi mkubwa akati hamuwezi gharamia chakula mpaka mpewe chakula cha msaada.
Nigeria ina uchumi mkubwa mara nne ya Kenya na wao pia hawajitoshelezi kichakula.
 
Watanzania wako sahihi kukesha humu huku wakitumia Kenya kama benchmark maana siku zote unakimbia umfikie aliye mbele yako, lakini pia haiwezekani ukakimbia huku ukijilinganisha na uliowaacha nyuma, ndio maana huwapati Wakenya humu wakibanana na Watanzania kwenye hizi hoja za kulinganisha urefu wa dushe. Walio huku ni wachache kama mimi ambaye nimewahi kuishi Tanzania, na wengine ambao labda walikua wanapita wakagundua JF, hutupia neno moja na kuendelea na shughuli zao.

Wakenya tuna upweke sana hapa Afrika mashariki na kati hadi DRC kote huko, maana hatuna aliyefikia level yetu wa kuendana naye, hivyo huwa tunajikuta tukipimana na Afrika Kusini.
Huo utajili mlionao hamuoni hata aibu kujisifia kwa upumbavu.

https://www.google.com/url?sa=t&sou...AxAB&usg=AOvVaw0MOlf5j_KTF3dOhmsuEqgO&ampcf=1
 
Endapo kuna kitu kimezinduliwa tz mara nyingi huenda social networks za wakenya na kuanza kudiscusa kilichoInduliwa ili kuoata attention kwa wakenya watoe feesback

Endapo kuna baya limetokea kenya basi watanznia with a lighting speed huenda kwene majukwaa ya wakenya kwenda kuwaambia hali ipo shwari tz wao hawana tatizo lililopo kenya.

Mifano ni mingi sana kufikia hata kuanzisha mijadala ya kulinganisha airports mfano mwanza airport vs kisumu airport, majiji kama mwanza vs mombasa, n.k

Ila hata hivyo kwa uchunguzi yakinifu niliofanya bado unakuta mwitikio wa wakenya kuanza kujadili hizi maada ni mdogo sana, unakuta mjadala kuna watz 50 waliochangia lakini ni wakenya watano tu.

Anyway nlikua najiuliza hapa, Wakenya hutumia benchmark ipo kwenye maendeleo yao.
 
Ile stigler's gorge imekufa kifo cha mende sindio?

kazi iko fire huko, tuko kwenye tunels za kuchepusha maji ili yatupishe tufanye kazi ya $blns.

ile likoni imekufa kifo cha mbu😆😆😆.
mnaua project za shilingi mbili mbili, na bado mnataka kujiinua mbele ya wakubwa wenu.
 
Naskia ndugu zako wanakula kinyesi 😂😂

ungekuwa reasonable kidogo ungekumbuka mavi huja mtu anapokuwa amekula.

ni kama kusema kenya hata mavi ya kukunya mkule hayapatikani😭😭😭😭
 
ungekuwa reasonable kidogo ungekumbuka mavi huja mtu anapokuwa amekula.

ni kama kusema kenya hata mavi ya kukunya mkule hayapatikani😭😭😭😭
Mnakula mavi na nyama ya Albino combination hatareee🤮🤮
 
Wakenya huwa hatuna muda na mataifa masikini kama Tanzania. sisi huwa tunawaona Watanzania kama wehu wa kiana flani hivi........
Dah...naona una kichwa chepesi sana kusahau...kule twitter wakenya walianzisha ''UkaidiwaMagufuli''...hakuna chombo chochote cha habari kilichowahi kumjadili Rais Uhuru...lakini vya Kenya vilimnanga Rais Magufuli hasa alivyolichukulia janga la covid19......
Tatizo Wakenya ama hamna taarifa za kutosha kuhusu Tanzania...au mnapotoshwa kwa makusudi kuhusu Tanzania...ndiyo maana watanzania wameamua kuwaambia ukweli...tena kwa maslahi yenu wenyewe ....
2503305_IMG-20200831-WA0055.jpg
 
Naona replies ziko tofauti sana na swali 🤔🤔🤔, nilitegemea mtajibu nchi mfano senegal, ethiopia, n.k
 
Naona replies ziko tofauti sana na swali 🤔🤔🤔, nilitegemea mtajibu nchi mfano senegal, ethiopia, n.k
Senegal na Ethiopia ni ligi zenu. Ligi yetu South Africa, Egypt, Morocco, Tunisia, Algeria na kidogo kidogo Namibia.
 
tanzania njaa ni historia, hatuwezi lingana na nyie mapopoma mnaojisifu mnauchumi mkubwa akati hamuwezi gharamia chakula mpaka mpewe chakula cha msaada.
Chakula hicho Cha msaada kinawaleta huku omba omba, majahaba, Magaidi, na wakora wakora wa Tz.
 
Chakula hicho Cha msaada kinawaleta huku omba omba, majahaba, Magaidi, na wakora wakora wa Tz.
endeleeni kuchemsha mawe maana ndo maisha yenu, kila mwaka watu wanakufa na njaa alafu jukwaani mnajisifia uchumi mkubwa, hivi hamuonagi aibu nyie nyang'au
 
Back
Top Bottom