Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Nimemfahamu ndg Tundu Lissu at least 2008 nikiwa chuo. Sijawahi kusoma historia yake. Nilipenda speed yake kama kijana hasa akiwa bungeni lakini as time went on nikawa nalose interest na baadae nikampuuza kabisa nikawa sina interest nae hasa upinzani wake kwenye ku reshuffle mikataba ya madini na msimamo wake mkali kwa mambo mbali mbali kwa sababu binafsi nilimkubali mwenda zake na speed yake.
For some reasons akitokea kwenye mijadala youtube huwa siachi kumsikiliza mpaka mwisho kwani uwezo wake wa kujenga hoja ni mkubwa. Karibuni nikakutana na historia ya maisha yake.
Sijawahi kufikiri kuwa anaweza akawa ametoa mchango mkubwa kama niliousikia kwenye historia yake hasa baada ya masomo yake ya masters. Antipas alipigania wanyonge enzi ambazo watu walikuwa hawapazi sauti kama leo aligombania wanyonge wasiokuwa na sauti, ni wakati haya makampuni makubwa yalikuwa yakikingiwa kifua na watawala kwa kigezo cha uwekezaji.
Nakitafuta kitabu chake huyu Antipas niendelee kujifunza maana huo uzalendo ninatamani auendeleze hadi leo hasa kwenye mambo genuine ya kuhakikisha masilahi ya nchi yanalindwa katika angle mbalimbali kwani kwa mambo ya karibuni nilimdefine kama yuko against na masilahi ya nchi.
In short naweza kusema kuwa TAL ni mzalendo ila anaweza akawa ameuvuruga uzalendo ukaminywa na mtindo wa ku politicize hata mambo mengi ya msingi.
Samahani Ndg. Tundu kwa kutokuujua mchango wako na kuwa against na naamini watanzania wengi hawajui mchango wako katika kudeal na mafisadi ya CCM enzi zako.
Ninachoweza kukuunga mkono ni kununua kitabu chako sijui wapi ili kukujigunza zaidi.