Nduli ameondoka,wapambe wanalia njaa na ukiwa.
TAL ni mpango wa Mungu katikati ya waoga wa watawala dhalimu kama utawala wa yule dhalimu muiba Roho za wananchi wenziwe na muiba haki za wananchi katika kura.
Mungu amzidishie maumivu huko Jehanum aliko hivi sasa.
Nimemfahamu ndg Tundu Lissu at least 2008 nikiwa chuo. Sijawahi kusoma historia yake. Nilipenda speed yake kama kijana hasa akiwa bungeni lakini as time went on nikawa nalose interest na baadae nikampuuza kabisa nikawa sina interest nae hasa upinzani wake kwenye ku reshuffle mikataba ya madini na msimamo wake mkali kwa mambo mbali mbali kwa sababu binafsi nilimkubali mwenda zake na speed yake.
For some reasons akitokea kwenye mijadala youtube huwa siachi kumsikiliza mpaka mwisho kwani uwezo wake wa kujenga hoja ni mkubwa. Karibuni nikakutana na historia ya maisha yake.
Sijawahi kufikiri kuwa anaweza akawa ametoa mchango mkubwa kama niliousikia kwenye historia yake hasa baada ya masomo yake ya masters. Antipas alipigania wanyonge enzi ambazo watu walikuwa hawapazi sauti kama leo aligombania wanyonge wasiokuwa na sauti, ni wakati haya makampuni makubwa yalikuwa yakikingiwa kifua na watawala kwa kigezo cha uwekezaji.
Nakitafuta kitabu chake huyu Antipas niendelee kujifunza maana huo uzalendo ninatamani auendeleze hadi leo hasa kwenye mambo genuine ya kuhakikisha masilahi ya nchi yanalindwa katika angle mbalimbali kwani kwa mambo ya karibuni nilimdefine kama yuko against na masilahi ya nchi.
In short naweza kusema kuwa TAL ni mzalendo ila anaweza akawa ameuvuruga uzalendo ukaminywa na mtindo wa ku politicize hata mambo mengi ya msingi.
Samahani Ndg. Tundu kwa kutokuujua mchango wako na kuwa against na naamini watanzania wengi hawajui mchango wako katika kudeal na mafisadi ya CCM enzi zako.
Ninachoweza kukuunga mkono ni kununua kitabu chako sijui wapi ili kukujigunza zaidi.
Labda wewe pekee ndio huujui mchango wa Shujaa Tundu Lissu ama tuseme umechelewa kuujua , ungeenda kanda ya Ziwa au Tarime ukauzungumza upuuzi wa kutunga kumhusu Lissu ni lazima ungepigwa mawe
Ndugu yangu, TAL ni kati ya watu wachache sana Tanzania wenye uzalendo unaotisha, upendo wa ajabu, huruma ya aina yake. Wenzangu wa Nyamongo tunamkumbuka sana kwa makuu aliyotufanyia. Anayemzidi kwa mbali ni Mungu Mwenyezi tu. Aliwahurumia washitaki wake Dodoma. Hii ndiyo sababu amebaki hai na kupewa nafasi nyingine ya kuishi hapaduniani. Ni jasiri ajabu.
Upuuzi huu,, inafika hatua unampa sifa mwanadamu mwenzako as whom?
Siasa bana mkifanyiwa porojo kidg basi misifa kibao, mbna wenzenu wakiusifia upande wa viongoz wa ccm mnawaita mazuzu na matusi kibao, lkn hao viongoz wa chama chenu mnaona wako sawa hata wakikosea[emoji23][emoji23].
Nduli ameondoka,wapambe wanalia njaa na ukiwa.
TAL ni mpango wa Mungu katikati ya waoga wa watawala dhalimu kama utawala wa yule dhalimu muiba Roho za wananchi wenziwe na muiba haki za wananchi katika kura.
Mungu amzidishie maumivu huko Jehanum aliko hivi sasa.
Mpango wa Mungu kukimbia nchi?, mpango wa Mungu kusapoti ushoga? ,mpango wa Mungu kuogopa kuwapigia kelele hao wafadhiri waizi wa madini kwa vigezo vya wawekezaji? Wanachadema bana sjui ni nani kawaroga , alafu huyo mwendazake mnaemuhukumu hamjui yuko wapi kwa sasa, na kama alikuwa akiharibu nchi, je ni mangapi mpaka sasa ya maana mmepata baada ya yeye kufariki?
Ama kwel hiki chama wanachama wake wanaendeshwa kama matahira na hawajui wanataka nini, yaan ni watu wa kwenda na propaganda&uongo uongo.
Nilikuwa namkubali sana hadi alipotamka kuwa anaunga mkono ushoga ndipo nilipomtoa thamani na sasa baada ya kusikia ameteuliwa kuwa balozi wa ushoga Tanzania na Afrika kwa ujumla ndio kabisaaa

Mkuu Yoda , no one is perfect. Hivyo pamoja na ubingwa wote wa sheria wa Tundu Lissu, he is a human being, can't be perfect kwenye kila kitu, na mimi kwa upande wangu, kiukweli ni kilaza, ila kuna sometimes bingwa anakuwa wrong na kilaza anakuwa right!.
Angalia nyuzi hizi mbili muone jinsi Bingwa was wrong na kilaza was right
Wanabodi, Kanuni ya Kuu ya Kwanza kwa mwanahabari yoyote ni to tell nothing but the truth. Naomba kuitumia kanuni hii kuwaambia Chadema, they were wrong!, walikosea!. Ukikosoa makosa yoyote, toa na mapendekezo ya kurekebisha makosa hayo. Hivyo Chedema kwanza wakiri makosa, pili wakubali yaishe...
Wanabodi, Declaration of Interest, japo mimi Paskali, ni mwanachama wa chama cha siasa, lakini hoja zangu zote hutanguliza mbele maslahi ya taifa kwa kuzitoa truthfully, with objectivity, impartiality na balance bila bias ya ukada wangu, nimetoa angalizo hili kwa vile watu humu wana vyama vyao...
Nilikuwa namkubali sana hadi alipotamka kuwa anaunga mkono ushoga ndipo nilipomtoa thamani na sasa baada ya kusikia ameteuliwa kuwa balozi wa ushoga Tanzania na Afrika kwa ujumla ndio kabisaaa
Inakuaje lisu asiunge akati serikali yenu inaunga mnategemea pesa tokakwako pia futeni sheria ya faragha ndomana namsapoti kwani vinavofanyika mle chumbani mwenu ni aibu
Labda wewe pekee ndio huujui mchango wa Shujaa Tundu Lissu ama tuseme umechelewa kuujua , ungeenda kanda ya Ziwa au Tarime ukauzungumza upuuzi wa kutunga kumhusu Lissu ni lazima ungepigwa mawe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.