Watanzania wangapi wanaufahamu mchango wa Tundu Lissu kwa Taifa?

Alijitahid saana kuleta uchoko... Now naona kama anaanza fanikiwa.

Alijitahid kutuchonganisha na mataifa makuubwa, now kasahaulika.

Aliitangaza nchi vibaya.
 
Alijitahid saana kuleta uchoko... Now naona kama anaanza fanikiwa.

Alijitahid kutuchonganisha na mataifa makuubwa, now kasahaulika.

Aliitangaza nchi vibaya.
Huyo Tundu Lissu mnaye mkebehi kwa taarifa yenu ndiye authority ya Sheria za Madini Tanzania pamoja na Mholanzi mmoja. Nahisi hata Adellaide Killangi ambaye Alikuwa ni AG wa Magufuli amemnukuu Tundu Lissu mara 15 kwenye Thesis yake ya PhD.

Hata tume ya Prof Osoro na Prof Mruma, Judge Bomani hamna hata mmoja wao ambaye hajanukuuu machapisho ya Tundu Lissu.

Mwanafunzi au mtafiti yeyote atakayefanya tafiti, iwe ya Masters au PhD kwenye eneo la Sheria za mazingira na madini, atakapofika kwenye chapter ya Literature Review hawezi kuacha kumnukuu Tundu Lissu. Ukikwepa kumnukuu Tundu Lissu na ukapata hiyo Cheti yako utakuwa hujawiva wewe na Supervisor wako.

Kimsingi kabla ya Tundu Lissu hamna Mtanzania alikuwa ameandika kwa undani juu ya Sheria za madini zinavyonufaisha nchi za kigeni kuliko wazawa. Na mapendekezo ya nini kifanyike ambayo ndiyo yametawala kwenye recommendations za Tume ya Bomani, Osoro na Mruma
 
Nilikuwa namkubali sana hadi alipotamka kuwa anaunga mkono ushoga ndipo nilipomtoa thamani na sasa baada ya kusikia ameteuliwa kuwa balozi wa ushoga Tanzania na Afrika kwa ujumla ndio kabisaaa
Weka hapa ushahidi wa kuunga mkono maana wabongo hata ukisikia unasema nimeona na nilikuwapo.
 
Porojo.
 
The dude is a true patriot ,naomba msiwashangae wanaoendelea kumbeza kwani hawako well informed kama nilivyokuwa mpaka nilipokutana na historia yake you tube nika surrender in short anapaswa kuheshimiwa na watanzania japo tuna utamaduni wa kusifia mtu akitwaliwa. From now namheshimu hasa mazingira ya wakati wa mbabe Ben. Wengi wa vijana mawaziri ndani ya CCM wanabebwa kwa ukada have nothing to compare na huyu Mwamba
 
Hata kuolewa na amsterda nao ni mchango mzuri tu
 
Muna siku walihutubia Samia na Lissu siku moja muda mmoja. We watched the differences.
 
Nilikuwa namkubali sana hadi alipotamka kuwa anaunga mkono ushoga ndipo nilipomtoa thamani na sasa baada ya kusikia ameteuliwa kuwa balozi wa ushoga Tanzania na Afrika kwa ujumla ndio kabisaaa
Duuh na wewe ni great thinker?
 
sahihi Bwana Pascal.

Pamoja na mambo yoote bado Lissu can be a best Candidate as compared to......
 
Tundu Lissu ni mmojawapo wa Tanzania wenye akili nyingi sana niliowahi kuwaona nchi hii panapo masuala ya Historia, Sheria na Katiba. Lissu anaishi miaka miaka mingi sana mbele ya Watanzania wengi.
Hii nchi haikumstahili
Long live Tundu Lissu.
Tundu Amewatendea wema watu wengi sana. Aliwakomboa watu waliopaswa kupewa vifungo magerezani kwa kesi za michongo.

Baraka za watu zilimponya tar 7 sept 2017.
 
Ana mchango kwa watu binafsi kuliko Nchi.
 
Lissu alisema mgogoro wa Barrick/ Accacia na Makinikia utaleta shida na hatutaambulia kitu twende kwa mujibu wa sheria na mazungumzo. Kuna watu wakabisha na kushupaza shingo.

Tulipigwa makinikia, tukapigwa kishika uchumba cha bilioni 700, tukapigwa hadi leo nasikia wanaanza tena mazungumzo.


Haya ni mambo walitakiwa kuona mbali na yangekuwa yalishaisha.

Tundu Lissu level yake si wa kuwa hapa Tanzania watu wake wanachelewa sana kuelewa mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…